![Super Woman ft. Diamond Platnumz, Rayvanny, Madee, Jux, Mbosso, Belle 9, Marioo, Lava Lava, Joel Lwaga, G Nako, Barnaba & Baba Levo](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/05/58ab156fc11c4c27816b9a237bd5e00b.jpg)
Super Woman ft. Diamond Platnumz, Rayvanny, Madee, Jux, Mbosso, Belle 9, Marioo, Lava Lava, Joel Lwaga, G Nako, Barnaba & Baba Levo Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Super Woman ft. Diamond Platnumz, Rayvanny, Madee, Jux, Mbosso, Belle 9, Marioo, Lava Lava, Joel Lwaga, G Nako, Barnaba & Baba Levo - Tanzania Men All Stars
...
(Belle 9)
mama,mama,mama,mamaoo,mama,mama eeh
upendo wako,heshima yako,dunia nzima,mfano hakuna, your the super woman
(Joel Lwaga)
mwanamke anaweza bila kuwezeshwa,Anazo nguvu na maarifa ya kujiendesha,uvumilivuu na kujituma ndivyo vyake dira eeeeeh.
(Marioo)
Asante mama,kwa kunilea,tumbo limekua we ni super(super),we ni super woman...mmmhh
(Mbosso)
unauza vitenge"super woman",unachako kigenge"super woman", unajitafutia kuitunza familia weee ni super woooomaan.
(Baba Levo)
alinibeba miezi tisa"mama",alipata shida"mama",kichefuchefu kutapika"mama",na hakuni choka"mama",leo napata Heshima na heshimika sababu ya"mama",mungu akulaze Pema na sitoacha kukuombea"mama".
chorus (Diamond Platnumz)
you my super woman,your my super woman
eeeeh super woman"super",super woman"super",super womaan
(Barnaba)
nimekua mkakamavu na mahiri,sababu nimelelewa na nwanamke jasiri,ooh jasiri,oooh jasiri aiiieeeh hiii.
(G nako)
I am a strong man,raised by strong woman,I am strong man raised by strong,strong,strong woman
(Lavalava)
machozi yalibubujika nikiyawaza mema yako,sina cha kukulipa asante kwa baraka zako,ubarikiwe"amen",uzidishiwe"amen",nakupenda mama
(madee)
wanamuda wa kazi,watoto na dady,wanamuda na jamii,mwanamke yote anaweza,kimasomaso x3 mmewaona super woman,wabeba zege"wapo",wapiga debe"wapo",sio legelege,mmewaona super woman,waimba rege"wapo",waendesha ndege"wapo",sio legelege,mmewaona super woman.
chorus (Diamond Platnumz)
your my super woman,your my super woman
eeeeh super woman"super",super woman"super",super womaan
(Jux)
Napiga saluti,kwa mwanamke anaejituma eeeeh,anaejilinda heee sio tegemezi,if you making money"your the super woman",nguzo kuu nyumbani"your the super woman",your the super aaaah yeeee super woman aaaah
(Rayvanny)
vipigo manyanyaso,kudhalilishwa umevumilia,
kakutelekeza na familia,natanga na njia kujitafutia,atawakisema usirudi nyuma songa mbele"songa mbele",songa mbele"songa mbele",usichoke ma....maana.
chorus (Diamond Platnumz)
you my super woman,your my super woman
eeeeh super woman"super",super woman"super",super womaan
(Dulla makabila)
waiteeeee"super womaaan",atiliatiliatiliaaa,
aaah ndombolo ndombolo iyoo mama,ndombolo ndombolo iyoo mama,aaah ndombolo ndombolo iyoo mama,ndombolo ndombolo iyoo mama,yani hataakiwa kilema mama ni mama,atakama elimu hana mama ni mama,we kutwa kucha anapambana mama ni mama,apate kuwatunza wana,waiteeee atiatiatiatia,we kama kweli super woman ebu nipe za jack cheni,we super woman ebu nipe za jet li,we super woman ebu nipe za jack cheni,we super woman ebu nipe za jet li,basi nipe za jack cheni,doni yeni,Bruce lee,jet li,hii kwa niaba ya masuper woman wote acha acha,chalaza.