Gate B ft. Odi Wa Murang'a Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Gate B ft. Odi Wa Murang'a - Zawadi Vanilla
...
this is safri...ni zawadi vanillaa....odi wa murang'a.
wen we talk about the best
me ndio baba lao....japo nilikuja juzii...
me ndio mwenyekiti wa washika dau...
nina maana na uchuzii...
mfanye mtakacho me narun this town...
huwezi kuleta upuzii.......
bm yangu imejaa madem zao kuonja taste ya vanillaa...
wanalia wanataka vitu fresh...wanajitongozesha niwapendee....
kupita nao kwangu sio kesi...
chapa teketeke me niendee
...................
nawapa kingfisher kiboko yao..
kisha wanavua chupi zao...
wanafurahi wanasema me ndio stress yao..
aaa eebwana tuu napita nao..
....................
kila weekend pale gate b....
sherehe hasikosii....
wengine wananiita bebii, wengine kiongozii...
.kila weekend pale gate b.....
sherehe hasikosii.....
wengine wananiita dadii......
wengine kiongozii....