Solo Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Solo - Lil wizz X
...
[Refrain]
Wanataka kunitoa on the peak
Wanahate kwa mitandao wanadiss
Kila time they hold me down wana wivu
Na sio hata wakali wanafeki noma sio
[Verse 1]
Wanataka kunitoa kwenye steam
Mi nnahustle na nnakaza we una Dm
Niko solo sina wana we una team (team)
Nnazo ndoto one day ntakuaga na BM'
'Member that I was a bit down, a bit down
Nilikua ovyo I was so weak bro' , so weak bro'
I wrote the verse na nkastick nayo, nkastick nayo
I sign the deals so I start to be fine, I start to be fine.
[Refrain]
Wanataka kunitoa on the peak
Wanahate kwa mitandao wanadiss
Kila time they hold me down wana wivu
Sio hata wakali wanafeki noma sio (noma sio, noma sio)
[Verse 2]
Yeah, Nacheck up my time, yeah (time)
Mtani nikidrive, yeah (Drive, niki drive)
I been so high (I been so high, I been so high, high high)
Just call me your lord, woo (lord, lord)
Call me superstar I'm hidden in the low lights
Nawapa kamikaze siwahachi wamenichora
Mi nnabang bang kiboss, boss
Org. Chain sio forgy, forgy
Wanna make my whole squad turn to bosses
[Refrain]
Wanataka kunitoa on the peak
Wanahate kwa mitandao wanadiss
Kila time they hold me down wana wivu
Na sio hata wakali wanafeki noma sio