Lubbish Lyrics
- Genre:Dancehall
- Year of Release:2020
Lyrics
Si hupenda kubambika
Si hupenda kubanjuka
Ile style si huimba utadhani malaika
Ile fom mlipostpone ndio hiyo Friday ishafika
Na Mesh aende home ndio hio jina ishaundika
Watu walidhani Mesh atakuja kutaabika
Watu wakadhani fom itakuja ndani ya beaker
Na saa imekuwa case mi nadai kuwazika
Mi ni kaa Msupa S sijali vile mnanianika
Mi najua watu wengi wanapenda kupayuka
Na hao watu wengi wanaitwa wahusika
Mi siwezi kuwataja wanajijua hadi miaka
Hata ni poa Alvindo aliimba taka taka
Lubbish dem Garbage dem Lubbish Garbage Damage dem
Anywayz enemies mih na bless dem
Anywayz haters Jah dah bless dem
And enemies enemies what is it hate earning you
What is it hate earning you, enemity and jealousy
Focus on the trinity eternity and clemency
Jealousy animosity will only destroy your vacancy
Juu mafans wanadai niko lit kama stima
Sweet kama dinner
Bajia za kupima
Wanajua chuki sina
Mi nadai tu kupita
Hii dunia tunapita
Hakuna haja ya mavita
Mahaters wakidai kunivuta Lubbish
Naskia walikuja na matuta Lubbish
Na wao ndio wenye watajuta Lubbish
Lubbish Lubbish Lubbish dem
Lubbish dem Garbage dem Lubbish Garbage Damage dem
Anywayz enemies mih na bless dem
Anywayz haters Jah dah bless dem
And enemies enemies what is it hate earning you
What is it hate earning you enemity and jealousy
Focus on the trinity eternity and clemency
Jealousy animosity will only destroy your vacancy
Cheki boss Cheki buda
Mi nadai kuvuruga
Hao marapper wote hakuna ule anafika hii lugha
Hata ka mnadai kimeru mi naeza chapa mi naeza uga
Nonto ntiumba gukara aja ntikumenya natya ukuuga
Indi mbuga gootokomenya niu muntu abatwe kuuga
Na ndagukethya bwanaa muntu kaugaa inyaa muuga
Siwezi blame hio si aim
Ama unajiona sugar
Coz mi huamini rap ni ka shame boss twende mbuga
KINA NANI KINA NANI
SI UNAJUA VILE HUPENDA TU MIDOMO
NIKILIGHTEN ATI NMEBLEACH
ZIKISHIKA ATI NI MANYARU
KWANI SIWEZI FANYA VITU NA HAMNING'ATU
HATA KAMA SHOW NIMEKUJA NA MATATU
NAJUA IPO SIKU NITADRIVE NA MAYENG
NA HAPO NYUMA BOSS YOU'LL BE DEALING WITH MY GANG
Lubbish dem Garbage dem Lubbish Garbage Damage dem
Anywayz enemies mih na bless dem
Anywayz haters Jah dah bless dem
And enemies enemies what is it hate earning you
What is it hate earning you enemity and jealousy
Focus on the trinity eternity and clemency
Jealousy animosity will only destroy your vacancy
Baraka zako God ndio mi niamini
Hao wengine still nitabaki chini
Wakisambaza rumour na mascandal
Najua Mungu anawasha yangu candle
Wengine nao wanadhani ni madawa
Lakini God ndio ananipaga mabawa
Usiwahi amini mtu juu unaona ako sawa
Kumbuka Adam alidanganywa na Hawa