
NACHECHEMEYA Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2021
Lyrics
Kumekucha asubuhi naangaza sikuoni
Ileilikua nindoto ndo nashituka napikicha mboni
Mapenzi changa moto nalakuvunda halina ubani yoyooh
Japo najikaza ila penzi laniumbua
Tatizo langu nikipenda huwa napenda kweri
Sa najiuliza nilikupa moyo unitapeli amaa
Unafanya kusudi unikomoee
Nionee huruma mwana wamwenzio tungi limevaba
Fanya urudiii
Naacheechemea
Amini bila wewee
Naacheechemea
Upweke mi siwezi
Naacheechemea
Agugu guguh
Naacheechemea
Njoulifute tongoo
Uwo uwouh
Ona sa natoa boko siwa kufua siwa kupika
Yote sababu niweweeh
Nambaya wananicheka penzi limechanika
Najitahidi kulienzi ukweri nadharirika
Tatizo langu nikipenda huwa napenda kweri
Sa najiuliza nilikupa moyo unitapeli amaa
Unafanya kusudi unikomoee
Nionee huruma mwana wamwenzio tungi limevaba
Fanya urudiii
Naacheechemea
Amini bila wewee
Naacheechemea
Upweke mi siwezi
Naacheechemea
Agugu guguh
Naacheechemea
Njoulifute tongoo
Naacheechemea
Amini bila wewee
Naacheechemea
Upweke mi siwezi
Naacheechemea
Naacheechemea
Njoulifute tongoo