![Twende Kwa Yesu](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/02/a7d71264ff77409f93190aefca7bb478.jpg)
Twende Kwa Yesu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Twende Kwa Yesu - Agnes Mueni
...
Nalifurahi waliponiambia twende ee, nyumbani kwa Bwana Yesu uu. X2
Kwa Yesu kuna makao,kwa Yesu kuna uzima,kwa Yesu kuna raha,kwa Yesu kuna upendo;Hakuna masengenyo ooh. X2
Wamama twende ee(twende),wazee twende ee(twende),vijana twende ee (twende),watoto twende ee(twende),wachungaji twende ee(twende),kanisa twende ee(twende) X2
Shida zikikuzidi ee wewe,usijitie kitanzi;njoo kwa Yesu wewe. X2
Naona wataka kujiua,wataka kukimbia;
Njoo kwa Yesu wewe.
Biashara inayumba,ndoa inayumba;
Msaada Ni kwa Yesu wewe.
Huduma yako haisongi,kazi imeisha;
Msaada Ni kwa Yesu wewe.
Kwa Yesu kuna makao,kwa Yesu kuna uzima,kwa Yesu kuna raha,kwa Yesu kuna upendo;Hakuna masengenyo ooh. X2
Wamama twende ee(twende),wazee twende ee(twende),vijana twende ee (twende),watoto twende ee(twende),wachungaji twende ee(twende),kanisa twende ee(twende) X2
...................................................................