![Wewe Ndio Manufaa](https://source.boomplaymusic.com/group2/M04/C9/FA/rBEeqFzWii2AIMJIAADLYfIGUCA903.jpg)
Wewe Ndio Manufaa Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
NAIROBI CITY KINGKONG STAMINA DADDY
VERSE ONE
Ata Nikiwa na Madeni,
Bila Mapeni
We unisemi, uko nami
Daily Nikiact silly ,nikicatch mafeeling
Nikikosa dili ,shika namba mbili
Niko sure uko nami,nyingine kali
Bila sisimami ,bila siwezani
Zaidi ya Ganji,na mali
Na hali ,uko place fulani
Hawatuwezi mi na wewe ni Army
Sitetemeki wanaipa Amani
Bila wewe siitakuwa Funny
Bila wewe siitakuwa Funny
Kule Tumetoka
Ndio Far
Ndio Far
Ndio Far
Kwangu
Wewe ndio Manufaa Manufaa Manufaa
Kule Tumetoka
Ndio Far
Ndio Far
Ndio Far
Kwangu
Wewe ndio Manufaa Manufaa Manufaa
VERSE 2
Nimepitia milima na mabonde
Adui si karibu anibonde
Kimuujiza umenifanya nisikonde
Uko nami mia moja donge
Ka mshale najitoa unichonge
Mzigo zote naziwacha ndio nisonge
Naificha wanafiki wasi some
Kwa magoti ndio picha nisichome nisichome
Maandiko ni lazima mi nisome
Niko juu bila kutumia pombe
Upendo wa kabila na tabaka zote
Mambo ya vita ilibidi mi nikome
CHORUS
Kule Tumetoka
Ndio Far
Ndio Far
Ndio Far
Kwangu Wewe ndio Manufaa
Manufaa
Manufaa
Kule Tumetoka
Ndio Far
Ndio Far
Ndio Far
Kwangu Wewe ndio Manufaa
Manufaa
Manufaa
Maandiko ni lazima mi nisome
Niko juu bila kutumia pombe
Upendo wa kabila na tabaka zote
Mambo ya vita ilibidi mi nikome
Maandiko ni lazima mi nisome
Niko juu bila kutumia pombe
Upendo wa kabila na tabaka zote
Mambo ya vita ilibidi mi nikome
Kule Tumetoka
Ndio Far
Ndio Far
Ndio Far
Kwangu Wewe ndio Manufaa
Manufaa
Manufaa
Kule Tumetoka
Ndio Far
Ndio Far
Ndio Far
Kwangu Wewe ndio Manufaa
Manufaa
Manufaa
Kule Tumetoka
Ndio Far
Ndio Far
Ndio Far
Kwangu Wewe ndio Manufaa
Manufaa
Manufaa
--- www.LRCgenerator.com ---