
Chimney ft. Scar Mkadinali & Boutross Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Chimney ft. Scar Mkadinali & Boutross - Exray
...
Yeah Yeah
Taniua
Ooh Yeah Yeah
Magix Enga Whad up ehehe
I swear ukinitoka me ni bad man si turn to Judas,
walai vile mtoto ameromaga, sitaki goose bumbs,
alinipea all night till the morning me nkampea shashamane,
mtoi aliniaribu na maganji
kumbe mtoto alikuwa na Dzadzy, nilimshow will you kiss me kiss me love ya utoi twende Disney Disney,
vile amenikunywa nshaaribu kidney
cjali story ya Moshi ye ni chimney chimney,
nilimshow will you kiss me kiss me,
For real,love ya utoi twende Disney Disney, aah,
vile amenikunywa nshaaribu kidney,wah, cjali story ya Moshi ye ni chimney chimney
aah my baby wanna kiss me kiss me,
mahater wako wengi na ni risky risky,
hio taxin inafanya mbaka siskii whiskey, namix tings chicks biz me sichiziki mmh aah
na kukaa keja ni issue Kwanza ka msupa anajua umebeba uzito,
huh,tunawakera by default trap nig**s tunawaekea banger kwa disco
na wakibonga tunawalenga waliko,
me ninasonga am a man on a mission, funny nig**s tunawakompea na Mamitto,si hitaji beamer me naeza tokea na maolipo
style fisi kesho kakikuma aty nshampita ju me Staki maromuor,
steam ikiisha tunakuwa wannaty na gunga naskia making fisher ni mapanty remo..hu, nilimshow will you kiss me kiss me
love ya utoi twende Disney Disney,
vile amenikunywa nshaaribu kidney,
cjali story ya Moshi ye ni chimney chimney,
nilimshow will you kiss me kiss me love ya utoi twende Disney Disney
vile amenikunywa nshaaribu kidney
cjali story ya Moshi joh ye ni chimney chimney aah,
oyah Scar huskii nilidhani nimeomoka mtoi alimocho akanitoka alafu akanicheza huskii ka soccer
mapenzi Korazon me nkadhani Kwamboka,
na I wish I knew Kila time niliishi maisha new
me ndo fan nilibaki still Man - U ady sikuhizi my friend ni few
niliskia akisema story ya mchuma nikamshow nikona M16 alafu akanishow that the end nimemkill akanishow umejipin juh me nadai kuifeel
na ka ni Corona nisijali ataiheel nishindange kwa Vaite bill atailipa nikamshow on my knees aty ye ni George Floyd niliachanga kanisa,
nilimshow will you kiss me kiss me,love ya utoi twende Disney Disney, vile amenikunywa nshaaribu kidney cjali story ya Moshi ye ni chimney chimney,
nilimshow will you kiss me kiss me
love ya utoi twende Disney Disney
vile amenikunywa nshaaribu kidney,
(yeah yeah) cjali story ya Moshi
(Yeah Yeah) ye ni chimney chimney aah,
siezi kung'uta nikiwa whiskey whiskey,
gode ni afande nko Friski Friski,
siezi nyonga siku za linchi linchi,
kuja Kejani nkona kempinski fitry,
nimekuchizi design naeza kupiga mate nkiwa ketepa,
uso ya Mkao na mwili ya Taita Taveta,
me hukuogopa najua unaeza nmeperemba,
hio roho uitumie labda uieke kwa jeneza, (eeh)
but ni used hizo tools ndo me ntaleta,
we piga mate kabla Bouty hajateleza,
naishi Highrob naskia we unaishi Fedhas,
tulink una Rizz tuseti kivela,(ehh)
nkupee touch ya jangili,
wamtukisi baridi,(kisi baridi)
akanicheki galdem akahisi vile me nahisi,
nilimshow will you kiss me kiss me,
love ya utoi twende Disney Disney,
vile amenikunywa nshaaribu kidney,
cjali story ya Moshi ye ni chimney chimney,
nilimshow will you kiss me kiss me,
love ya utoi twende Disney Disney,
vile amenikunywa nshaaribu kidney,
cjali story ya Moshi ye ni chimney chimney,aah
Magix Enga on the beat.