![All Time, NoTime](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/14/85512ecd60db490cb0f4f91ae44f2f89.jpg)
All Time, NoTime Lyrics
- Genre:Trap
- Year of Release:2020
Lyrics
All Time, NoTime - Jomonotics
...
Enyewe Me ni mkali duniani walahi
Hawa wasee hujidai wakali ni waongo wanaLie
But why lie! Na ni evident Me ndio the guy
Umeshindwa na yeye so bed yangu ndio anaLie
Coz I'm YOUNG, I'm DOPE and I'm FRESH
As fresh as a daisy, Mr. Real, no fake
All I've got is some dope vibes
You never wanna miss
Na ulitangulia ukaenda kuDissappoint
Skiza Beiby,
Me ndio huwa mkali All Time
Na hawa mafala huwanga wakali No Time
Me ndio huwa mkali All Time
Na hawa mafala huwanga wakali No Time