![Usiniache](https://source.boomplaymusic.com/group2/M04/DE/44/rBEeNFx1QqOAc71wAACQO4JlqF8496.jpg)
Usiniache Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Usiniache - Jordan Ngassa
...
Hiye hiye hiye...*2
kaa nami bwana ah...bado ninakutegema
ukae nami bwana...kaa nami bwana bado ninakuhitaji we baba yangu....siwezi kwenda mbele Yesu bila wewe bila wewe yaweee..
maisha haya bila wewe ni sawa na kazi buree eeh baba....
kaa nami babaaa usiniache milele yotee usiniache baba baba..
hivyo ninakuomba ...ninakuomba eeh baba eeh yawe eh baba yangu...
** hvyo ninakuomba usiniache usiniache..*2
usiniache Yesu..usiniache*2
usiniache Yesu...
Bila ww cwezi kwenda bila we cwezi Fanya bila ww cwezi sogeaaaa...
nahitaji uniguse..nahtaji nguvu zako ziniponye ziniguse...baba
mateso yamekua mengi shida zimekua nyingi..nakuhitaji baba yangu uniponyeee...
siwezi kwenda mbeleee bila wewe Yesu siwezi Mimi ooh siwezi..usiniache usiniache usiniache Yesu....usiniache Yesu wangu .......msimuache mama yule usiniache kaka yule usiniache Dada yuleee usimuache mjane yule anahtaji faraja yako....