
Maria Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Maria - Ally B
...
sikiliza kwa makini mpenzi na uyaweke akilini Maria, maisha yetu ni magumu mpenzi iiih, upasha uifahamu Maria, (najua una huzuni mpenzi wewe, sababu ya umasikini lazizi, woyeeh
ninajua una huzuni mpenzi woyeeh, sababu ya umasikini lazizi woyeeh, (lakini si kosa lako wala si langu ajuae kamili hilo ni baba Mungu Maria)×2
maria aah aah aah aah, maria vumilia aah aah
maria aah aah aah aah, maria sikia aah aah all right
Maisha yetu ya umasikini iko siku mpenzi tutawini leo mpenzi tunalala chini uenda kesho tupo kitandani, jikaze leo twende kwa miguu kesho tuna gari barabarani, inabidi ukaze moyo maria wewe usije niwacha pweke maria mimi, inabidi ukaze moyo maria wewe usije niwacha pweke maria woyeeh
(masikini si kilema matatizo ya dunia yapasha kuvumilia ooh, ndio mambo ya dunia iko siku yatatulia mpenzi wangu vumilia ooh)×2
maria aah aah aah aah, maria vumilia aah aah, maria aah aah aah aah, maria sikia aah, all right
Kwa sababu ya umaskini wetu maria, kwa watu mpenzi hatuna thamani woyeeh, kwa sababu ya umasiki wetu maria kwa watu mpenzi hatuna thamani iiih, tunaonekana sisi ni kama makatuni ndo maana hatualikwi hata harusini, sababu kubwa maria umaskini, nashindwa maria kukupeleka saluni wee, si kosa langu ajuaye ni manali, maria wewe wewe, usinikimbie, maria wowowo usiniwache eeh
(masikini si kilema matatizo ya dunia yapasha kuvumilia ooh, ndio mambo ya dunia ipo siku yatatulia mpenzi wangu vumilia ooh)×2
subira yavuta heri, leo mambo ni shwari
mpenzi husiyajali, yale yote walosema tusikane mpenzi wangu
mimi na we ooh, mimi na we ooh, mimi na we
instrumental
writer ; Felix Rajab