Ni Poa feat. Piston Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2019
Lyrics
Ni Poa feat. Piston - Amani G
...
Yoyoyo Yoyoyo iyo yoyoyo .
Yoyoyo Yoyoyo iyoiyo yoyoyo
Ni Poa Kuwa na Rafiki kama Yesu
Ukianguka kwa shimo anakutoa
Ni poa kuwa na rafiki kama Yesu
Ukiwa mwenye dhambi anakuokoa .
Na je rafiki yako akisikia (akisikia)
Kwamba ndugu yako ameaga dunia
Siku ya nne anatokea
Na ndugu yako rafiki anamfufua .
Na je Rafiki yako ukimwambia (ukimwambia)
Hatujalipa kodi wanatukujia (aaah)
Anakutuma kafungue mdomo wa samaki
Hapo ndani kuna mapeni lipa kodi .
Ni Poa Kuwa na Rafiki kama Yesu
Ukianguka kwa shimo anakutoa
Ni poa kuwa na rafiki kama Yesu
Ukiwa mwenye dhambi anakuokoa .
Yoyoyo Yoyoyo iyoiyo yoyoyo
Yoyoyo Yoyoyo iyoiyo yoyoyo
Imagine rafiki ambaye haogopi
Imagine rafiki ambaye hatoroki
Imagine rafiki ambaye hakuwachi
Hata maji rafiki yanamtii .
Mawimbi yakija rafiki anakemea kemea
uu ya maji rafiki anatembea tembea
Hakuna jambo yesu linamlemea lemea
Yesu ni yesu anakungojea .
[CHORUS]
Ni Poa Kuwa na Rafiki kama Yesu
Ukianguka kwa shimo anakutoa
Ni poa kuwa na rafiki kama Yesu
Ukiwa mwenye dhambi anakuokoa .