
Kinyaunyau Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2000
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Kinyaunyau - Kilimanjaro Band
...
nimekwisha zoea mmmmh kusemwa semwa na watuu aaaah ya kwao hayaoniiii leooo kazi kusema ya watuu
Basi Leo na waambiaa maneno yenu sijari mtabaki Ivo ivo ya kwangu yani nyookeaaa
wachaa wacha wasemee
watasema mchana eeee
usiku watalalaaa
wacha wacha wasemee
Leooo wacha wacha wa semeee
watasema mchana eeee usiku watalala
wacha wacha wasemee
Mie na wangu nyumbaniiii
haaaalooooooo mmmmmhhh
Mambo yangu burudaniii
aaah masikio nimezibaaa
lleo ijali ya mitaaniii
kwangu nimemdhibiti hasikii wala
haonii kajaribuni kwenginee
hapa hamuoni ndaniiii
wacha wacha wasemee
watasema mchana eeee usiku watalala
wacha wacha wasemee
oooh wacha wacha wasemee
watasema mchana ee usiku watalala wacha wacha wasemee
Mama weee kinyau nyau kikia cha pweza
wataka Mambo hauta yaweza
Leo kinyaunyau kikia cha pweza
wataka mambo hauta ya wezaa
aaah kinyau nyau kikia cha pweza
wataka Mambo hauta ya wezaa
leo kinyau nyau kikia cha pweza
wataka Mambo hauta ya wezaa
Mie na wangu nyumbaniiii
mmhh Mambo yangu burudaniii
ooh masikio nimezibaaa
aah sijari ya mitaaniii
kwangu nimemdhibiti
hasikii wala haoni
kajaribuni kwenginee
hapa hamuoni ndanii
wacha wacha wasemee
watasema mchanee
usiku watalalaaa
wacha wacha wasemee
Leo wacha wacha wasemee
watasema mchana eee usiku
watalala wacha wacha wasemee
vijuu x16
walomba yeee
loooombaaaaaaaa
wayayayaa wayayaa wayaa wayaaaa yaaa wayayaya waya waya wayaaya
aah mama chanja
mama chanjaa
eeeeeeh
njaa yaniumaaa
kulaaaaa
nina hamu Nina hamuuu
eeerrrrh
vya kupikwa chukuchuku
kulaaaaaaa
na mboga ya kisamvu
eeeeeh
Nile huku na huku
kulaaaaaaa x2
Wayayayaa x16