![Bae](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/12/4d8a970f92d146659b2c7ea01450c4ed.jpg)
Bae Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2020
Lyrics
Bae - Asen B
...
mmmmmh... uye ye yeah...
uyeee....mmmmmh hmm yeah.
kwa penzi langu huru, imechagua moyo kukupenda wewe
yangu bahati tena nuru,
unavyotabasamu waniua wewe,
cheki shepu na figure jamani nikama umeumbwa asubuhi,
yako rangi sambamba dhahabu,
tena mwenye heshima kupindukia,
cheki shepu na figure jamani nikama umeumbwa asubuhi,
yako rangi sambamba dhahabu tena mwenye heshima kupindukia,
wako wapi, walosema siwezi kufika huku
ona sasa nazila michuzi naogelea penzi natumbukia
wako wapi iiih, walosema siwezi kufika huku
ona sasa nazila michuzi naogelea penzi natumbukia
mmmh hmmm (ola!) mmmh hmmmm(ola la la laa!!)
Hmmmh mmmh (ola!) ooh lala!
Chorus
Nikitaka nibebwe (bae, bae, bae baaabe)
nikitaka nikandwe kandwe mama (bae, bae, bae baaabe)
Nikitaka nitekenywe (bae, bae, bae baaabe)
Navyopenda napendwa pendwa maama (bae, bae, bae baaabe)
verse2
mwenye asali ni ye, tena kocha anifunza kucheza rafu,
anavyonipa nashiba, yeye hodari yuanifua kidafu dafu,
sisemi sitaji, navyopata yatosha
tena usingizi sipati, hadi safari mwisho nafikishwa
ooh lalala! (uyee)
ooh nananaa(uh yeyeye)
ooh lalala! (uyee)
ooh nananaa(uh yeyeye)
wako wapi, walosema hatuwezi kufika huku
ona sasa twazila michuzi twaogelea penzi twatumbukia