Moyo Kama Macho Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Moyo Kama Macho - Kivurande Junior
...
.....
moyo kama maji upepesa pande zote
lalaaa
moyo unamashiko huzishika hisia zote
lalalaala
tena hunipa mfadhaiko kwa yule nimpendaye
mwenzenu nimepagawa mwenzenu nimechachawa mi kweli namuelewa nikwake nimemzimia moyo taratibu
ucje kuniumiza nas3ma na moyo wangu
ucje kunitatiza mjini kuna vya watu
asije kuniumiza moyo taratibu ucjekunisumbua nikapata tabu
mwisho ukaniumiza*3
mwenzenu nimepagawa mwenzenu nimechachawa mikweli namuelewa
mikwake namzimia moyo kama maji hupepesa pande zooote lalalaaa
moyo na mashine huzishika ica zooote
lalalaa.tena hunipa fadhai kwayule nimpendae tena hunipa fadhai kwayule ni mtakaye oooooooooooh
unamashakaa mooooooyo
tiliiitilili tililimama tililitilili tililimama tilili
mwanangu unatilili nasema natilili
kina mama tilili tilitilitilili tililimama tilili
mwanangu natilili nasema na tilili *3
::::::::::;;;;;;;;;;;;;;;;::::::::::;;;;;;;;;:::::
ale maji maji maji maji*7
ale majimaji ya kisima maji yakunawa maji ya kuoga maji ale majimaji ya kisima maji yakunawa maji
minasema maji chemchem maji
mtwangio twanga katikati ucharibu kinu changu *2 aya yaratibu mi nasema twanga twanga twanga twangq mi
nasem twanga katikati twanga
na kushoto twanga nakulia twanga
:::::::::::::;;;;;;;;;;:::::::::::::::::::::::::::::