
Annah, I Love You Lyrics
- Genre:Benga
- Year of Release:2020
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Annah, I Love You - Kakai Kilonzo & Les Kilimambogo Brothers
...
Anna- I love you
INSTRUMENTALS
Barua nyingi nimekuandikia mama eenh
Barua nyingi nmekuandikia Mami eeeh
Majibu yako ni ngoja ngoja, ngoja tu x2
Na ngoja ngoja yaumiza matumbo Sheri mami(mama) eenh x2
Annah eeeeh....
INSTRUMENTALS
Nilituma wazee kwa wazazi wako nataka nikuoe x2
Majibu yako ni ngoja ngoja , ngoja tu x2
Wewe mwenyewe wajielewa vile nakupenda x2
INSTRUMENTALS
Annah eeeeh Annah eeeh Annah eeeh x2
Annah mpenzi nakupenda Sheri Annah eeenh x2
Barua nyingi nmekuandikia Annah eeeh,
Majibu yako ni ngoja ngoja, ngoja tu
Na ngoja ngoja yaumiza matumbo Sheri Annah eeeh x2
Mama eeenh..
INSTRUMENTS
Annah aieeh nakupenda x2
Mama
Annah aeeeh I love you x2
mama
shule shule x4
komora komora x4
?lesi komora x2
simama komora , cheza komora x2