Lihimidi Jina Lake Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Lihimidi Jina Lake - Joyce Omondi Waihiga
...
Mashariki na magharibi haziwezi kutana
Hivyo ndivyo uliweka dhambi zangu mbali nami
Waukomboa uhai wangu wanisamehe
Tena waanivisha taji ya upendo wako
Ooh nisemeje? Mungu nikupe nini?
Eeh nafsi yangu mhimidi bwana
Usisahau fadhili zake zote
Eeh nafsi yangu mhimidi bwana
Usisahau fadhili zake zote
Lihimidi jina lake jina lake jina lake takatifu
Lihimidi jina lake jina lake jina lake takatifu
Kweli baba we ni mwema, uinuliwe
Kwa ajili ya neema na fadhili zako
Jina lako litukuzwe leo na milele
Maana hulinganishwi baba na yeyote
Nisemeje oooh
Nikupe nini ila sifa
Eeh nafsi yangu mhimidi bwana
Usisahau fadhili zake zote
Eeh nafsi yangu mhimidi bwana
Usisahau fadhili zake zote
Lihimidi jina lake jina lake jina lake takatifu
Lihimidi jina lake jina lake jina lake takatifu
Upendo wako umenizunguka
Neema yako imenipandisha
Hallelujah, jina lako ni kuu
Kwa nguvu zako bado nasimama
Amani na furaha umenipa
Hallelujah, jina lako ni kuu
Upendo wako umenizunguka
Neema yako imenipandisha
Hallelujah ,jina lako ni kuu
Kwa nguvu zako bado nasimama
Amani na furaha umenipa
Hallelujah, jina lako ni kuu
Eeh nafsi yangu mhimidi bwana
Usisahau fadhili zake zote
Eeh nafsi yangu mhimidi bwana
Usisahau fadhili zake zote
Eeh nafsi yangu mhimidi bwana
Usisahau fadhili zake zote
Lihimidi jina lake jina lake jina lake takatifu
Lihimidi jina lake jina lake jina lake takatifu
Astahili sifa eeh, astahili utukufu eeeh
Takatifu uu baba