![Rong](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/10/0abdc123ff3a41eb8a8a65afc09a0a54.jpg)
Rong Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2020
Lyrics
Rong - Natty
...
Natty...
back to back mi hukuwa tu low-key
back to manual settings
mi nambeatika hakuna haja ya mbogi
habari zilikuwa tu turn off
si huyu ni ngwesa akule tu masyoki
ilikuwa tu mi na PM hio day hatukupull up na mbogi...
acheni gossip,sichezi na ganji mi hucheza na pongi
I'm addicted,bado wakuje hii mtaa waambie hatuogopi hio moshi(waambie)
waambie niko na blade,mi nakunyoa niite kinyozi
ni maswade ka tatu,boy aliona Natty akapiga magoti...
what if ningekuwa na masaa,sai ningekuwa tu missing
vile shh alipiga ma lap hio day ungedhani ye joh ni vintage
ukiona bro amepull up na shank,jua ni certified chings
na huyu dame anadai ako njaa,stupid bitch seti kidungi apo chini....
...
(CHORUS)
nipate juu ya shash napiga mamoshi
huyu bro wake ni ka zinamgeuza fossil
nilisema hakuna 4 ka 4 sio 40
rong nikistone mnageuza rodi
boy ni rong na hadai tu manoti ×2
same way naback hii riffle ndio same way nitaback my bros
na huyu alianza drilling juzi,sai anajiona GI JOE
dame ako knee high,no feel high but hii chuma inaingia...
nikijirudia bado mi ni savage
world class chinger niite rong
siezi go back to back na hawa marapper inafaa baas wacha nikushow
mi ni mkali,graph sionekani
niko juu ya hio page on God
umekaa na hio mali sana
why the fu*k do they stay on road
ukisema huko nje unaonekana...
...
huyu motherfu*ker anamblein
shots ni tatu,mbili za huyu arif moja dot kwa brain
zamisha hii rambo, 'toka kitambo mi nipate hustle
dame amenona ni wa counsel
jeshi ni trouble,splash adi azone na vako
...
if this is the life we livin' dripping ngeus namuacha tu swimming
pedi
bado mi hupiga round saa saba
rambo katikati mi humuita drillings
niko ndom juu ya ozone ceiling,shifting
ngeus we ni bombo bleaching
nikisema nikam solo,silly aliona mtu 8 juu ya mask...
...
(chorus)
same way naback hii riffle ndio same way nitaback my bros
na huyu alianza drilling juzi sai anajiona GI JOE
...