
Mtu Pesa Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Mtu Pesa - Twanga Pepeta International
...
Ahahhh
Ebwana ndiyoo
Twanga Pepeta Kisima cha Burudani
Hivyo hivyo, jikaze baba
Shakashia
Shakazulu
Sababu ninayo nia ninayo wa mwanzoni na wa Banza Stone
Twanga Pepeta kama bomu la nyuki liyeyee
Sababu ninayo nia ninayo mwanzoni na wote wa Nairobi
Twanga Pepeta kama ndege ya B52 yeyee (Aziza Fashion)
Eeeh Meja Matunda, ndugu chuma na Hamis magodoro
Atapata kila kitu isipokua amani
Atakwenda kila mahali isipokua Peponi
Atajulikana kila mahali isipokua Mbinguni
Atarithi kila kitu ila uzima wa milele
Papaa Fadhili na Maskat
Atapata kila kitu isipokua amani
Atakwenda kila mahali isipokua Peponi
Atajulikana kila mahali isipokua Mbinguni
Atarithi kila kitu ila uzima wa milele
Victor keybody dada Regina standard (Kurasini)
Heheee Kingstone, na Karenebo Ezra (utalijua jiji)
Mtu mwenyepesa atakua na marafiki wengi
Lakini watakatifu kwake itakua ngumu
Awe milionea au trilionea
Hukumu ya kifo kwake iko palepale (palepale)
Hawezi ishi milele ooh(oooh milele)
Na kila kitu atapinga
Lakini neno la Mungu kwake
Atashindwa aaah iweee
Cheza nae mbali sana na mtu mwenye pesa (mwenye pesa si mwenzako) oooh
Cheza nae mbali sana na mtu mwenye pesa (mwenye pesa si mwenzako)oooh
Anawezakutenda zuri au baya lile alitakalo
Sio yeye ni pesaaa ni pesaaa
Ni pesaaa (zinazo mzuzua eeeh)
Sio yeye ni pesaaa ni pesaaa
Ni pesaaa (zinazo mzuzua eeeh)
Tunu Barkusi, Hamidu Qaida (Double Key)
Kuna usemi wa mababu zetu wasema pesa ni maua
Mwenye pesa huabudiwa, kwasababu ya pesa zake
Mwenye pesa anajeuri, mwenye pesa ni Mfalme
Hakuna asiyeyajua haya niyasemayo (oooooh ooooh ooooh) Emuyaba eeeh
Eeeh Dj Kipasu, Dj Humphrey
Mtu na pesa zake yeyeee, Pichue ngongo
Mtu na pesa zake yeyeee, Chicha Monee
Mutu na pesa zake yeyeee, Fred Elima
Anaweza akahamisha mito, milima na mabonde
Vilevile ajua kwamba kifo hakiwezi kumruka
Hawezi ishi milelee, Side Mnguruma
Hawezi ishi milelee, Rashidy Rwambo
Hawezi ishi milelee, baba Diana (oooh, oooh ooh baaa)
Atapata kila kitu isipokua amani
Atakwenda kila mahali isipokua Peponi
Atajulikana kila mahali isipokua Mbinguni
Atarithi kila kitu ila uzima wa milele
(Renalda mtoto wa Chang'ombe)
Atapata kila kitu isipokua amani
Atakwenda kila mahali isipokua Peponi
Atajulikana kila mahali isipokua Mbinguni
Atarithi kila kitu ila uzima wa milele
(Jojo Jumaine, Kizunga Mbele)
Shakashaka Shakazulu
Shoka moja Mbuyu Chini wazamani nasema utajiju eeeh (utajijeijei wewee)
Shoka moja Mbuyu chini wazamani nasema utajiju eeeh (utajijeijei wewee)
Oooh nasema utajiju, iyo utajiju eeeh
Nasema utajiju, oya utajiju eeeh
Utalijua Jiji wewee
Utajiju Camp (Kingstone, ebwana ndiyo)
Uliniacha na mtoto wangu mdogo Vanesa eeh
Miaka inakwenda siku zinarudi mimi na Vanesa eeh
Eeeh na mtoto wangu mdogo Vanesa eeh
Miaka inakwenda siku zinarudi mimi na Vanesa eeh (baba joti, Mj Production)
Wewe utakuja nikumbukaaa
Wewe utakuja niulizaaa
Wewe utakuja nikumbukaaa
Wewe utakuja niulizaaa
Iiih mapenzi na wewe
Sasa yamekwishaa
Usinijuejue
Usinitambue
Oooh chunga nyumba na mama Vanesa eeh
Eeh chunga nyumba na mama Vanesa yooh
Oooh chunga nyumba na mama Vanesa eeh
(Farida Mapambano)
Eeeeee
(Wille Weta)
Eeeeeh
(Kilimanjaro)
Eee baba Yusuph Ally
Mzee wa radi
Eee Aziza Fashion
Tujoin tupelekane
Garage Muchangani
Eee Musafiri Kapenyani namba one
Kwetu tukakutawikeee
Peter Mkambi Profesionary Keybody
Aai Kingwendu wa kisambu
Amechukua
Ameweka waah
(Prisca Msigwa)
MCD wa kisambu
amechukua
Ameweka
(eiweee, eiweewe)
Home alone original
Freedom Camp
Hehee Dokta Ngalale
Aiih nenda nyumbani kamueleze baba
Tena nenda nyumbani kamueleza mama ooh
Twanga Pepeta nimeipenda mwenyewee
Twanga Pepeta nimeipenda mwenyewee
Hata Shinyanga nitakwenda nayoo
Na kule Arusha nitakwenda nayoo
Twanga Pepeta nimeipenda mwenyewee
Twanga Pepeta nimeipenda mwenyewee
Baba Diiii
Baba Diana
Hivyo hivyoo
Asaante Maleche Asenga ya Cameroon yooo
Asha Baraka kwa kuitunza Twanga yeyee
Asaante watu wa Daresalam
Kwakuifagilia Twanga oooh
Baba Masanja ya mama Vanesa yoyoo
Iiih Pepeta nayo inawapendaga
Watu woote yeee
Aah Pepeta nayo inawapendaga
watu wote
(Twanga Pepeta inogile)
Wawe warefu
Wawe wafupi pia twawapenda
(Twanga Pepeta inogile)
Twanga Pepeta inawapendaga
watu woteee yee
(Twanga Pepeta inogile)
Wawe warefu
Wawe wafupi
Inawapenda yoo
Mamaaaa (uuuh)
Mamaaa wowowooh
Mamaaaa
Mamaa wowowooh
Twanga Pepeta inawapendaga
watu wote yeee
(Twanga Pepeta inogile)
Wawe warefu
wawe wafupi
Inawapenda
(Twanga Pepeta inogile)
Baba John
Baba Jombi wapi
Mama John
(Twanga Pepeta inogile)
Eeh unalo babu
Oya Gadi na Mapambano yoo
Eeh unalo babu
Oya Dola mia ye eeeh
Inawapendaga watu wote eeeh
Eheee
Eheee
Oya side mgambo yooh
Wapi side mkuruma yeyeee
Nyatalii
Wanangu eeeh eeeh wanangu eeeeh
Twende wapi yoooh ooh wanangu eeeh
Mimi baba yenu eeeh wanangu eeeh
Yoo nipate Baraka zake Mola
Afya njema yaa nipate kucheka yee
Nchi yetu Tanzania Bara
Naipenda sana yooh wanangu
Oya Msafiri Diouf
Na ya Mapambano yooh
LYRICS BY OCHU MEDIA