Nyonga Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Nyonga - Sovereign (KE)
...
Hahaaa
Sovereign
Sovereign to the world
East Africa's finest
Wacha kumisbehave Christ anacome through soon na siku haijulikani
Kujifanya we ni mngori ninja nanii
Utajua si utani
Nimecomethrough na hii message imeenda shule cheki cheki nanii
Aliniokota nikiwa chini bana nikiwa ati sina any
Ati dhambi me naruka futi Ishirini na
Nishajitambua me ni mchaguliwa
Me na papapa chini ya jua
Eti ninang'aa maadau wanajua
Thought you should know that it ain't for the papers
This is the good news I'm bringing to you
I met a savior not like em haters
His name is Jesus Emmanuel
None of these people are treating me well
Where I'm from i swear i can't tell
The fame thats bonus
Na watu wataona
Injili itasonga kwa wote mafans
Upendo wake umeshinda watu wote najua
Ni vijana wa Noah na injili imeshika
Dhambi tunanyonga X2
Nyonga X6
Wacha kumisbehave X2
Kumisbehave
Si tuko na Jesus
Dhambi tumenyonga
Christ ni mreal
So kwake wewe songa
Hakuna kama ye
Kwake rada safi
Bonga na ye kila everyday (pray)
I met a savior dhambi ameosha
Nilikua msoto na sasa nimeosa
Si Christ ni mreal wacha kuwa mzii
Itabidi uachane na akina rozzyy
Huyu Mungu ye hawezi fail
Si wote atatusave
Bora tujiavail
Dhambi ameosha
Alishalipia bail
So dhambi wewe nyonga
You'll never go a stray
Upendo wake umeshinda watu wote najua
Ni vijana wa Noah na injili imeshika
Dhambi tunanyonga X2
Nyonga X6
Wacha kumisbehave X2
Kumisbehave
We wacha kuzini
Ni upige tu magoti
Na uingie kwa maombi,
Kisha utubu dhambi zako.
Usijali na mawaimbi,
Atakupa tumaini.
Bora umwamini
Wangu wa tabibu.
Ye kupenda si ajabu,
Bali mienendo zako
Na tabia ndio sababu.
Atakutoa kwenye tabu,
Aondoe na aibu.
Na yakija ni maswali,
Ye pekee ndio jawabu...hahahaaa.
Matemper zimeshika
Na God amejam
Calling kuipata
Na sa nimekam
Baraka zinakuja
I know my turn
Zingine zikikam
I call your name
Upendo umezidi
Oh my God
Bado wanashuku
Still ntakupraise
Dhambi tunanyonga
Nga!Nga!
Kwa devo tumegoma
Nga!Nga!
Injili ndio noma
Words zinasonga
Me nkaoka
Dhambi kuikoma
Juu Yesu alibisha
Nga! nga!
Aki nampenda
Ga!
Upendo wake umeshinda watu wote najua
Ni vijana wa Noah na injili imeshika
Dhambi tunanyonga X2
Nyonga X6
Wacha kumisbehave X2
Kumisbehave
Upendo wake umeshinda watu wote najua
Ni vijana wa Noah na injili imeshika
Dhambi tunanyonga X2
Nyonga X6
Wacha kumisbehave X2
Kumisbehave