One Night Stand ft. Harmonize Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
This song is not currently available in your region.
Lyrics
One Night Stand ft. Harmonize - Ibraah
...
me baba yangu sio magufuli ama kenyatta wa kenya..
nikudanganye mugabe ni uongo sio sawa..
hata nyota yangu me ni sifuri sio wa kupata tena..
kula yangu tu mazabe sina mchongo ka chawa..
what i believe what i believe no money no love
yupo niliompaga moyo akaugawa vipande..
nimeumbwa na wivu me na wivu moyo wangu saa mbovu..
hakuwaga mchoyo kutwa migulu pande..
kwanza mapenzi yamezaliwa bombay masong kwenye majani..
utaweza mwana wa mbonde yamemshinda sharukhan..
agiza nyama na pombe tulewe twende chumbani..
nikupe muhogo wa jang'ombe kisigino kiwe begani..
baby all i need me siwezagi kuzunguka (one night) eeh one night one night stand..
yani nipe nikupe kabla hakujapambazuka one night eeh one night one night stand..
Konde boyy
siku hizi kupenda penda kumepitwa na muda one night one night one night stand..
yani akikupa kula akisusa mwingine atakula one night one night one night stand..
usijidanganye umemkamata mtoto wa mjini magoli mengi samatta hata uzame chumvini..
ila kuna wazee wa migodi hawagongagi hodi we jifanye mjanja unachunga ila ndio wanalipa kodi..
atadanganya anaenda jogging kumbe yuko lodge mwenzako anajaza mimba we uko jim unajaza body..
what i believe what i believe no money no love
yupo niliompaga moyo akaugawa vipande..
nimeumbwa na wivu me na wivu moyo wangu saa mbovu..
hakuwaga mchoyo kutwa migulu pande..
kwanza mapenzi yamezaliwa bombay masong kwenye majani..
utaweza mwana wa mbonde yamemshinda sharukhan..
sio unakunywa tu mapombe unajua anaelipa nani..
twende nikakupe guu la ng'ombe ukaugulie nyumbani
baby all i need me siwezagi kuzunguka (one night) eeh one night one night stand..
yani nipe nikupe kabla hakujapambazuka one night eeh one night one night stand..
siku hizi kupenda penda kumepitwa na muda one night one night one night stand..
yani akikupa kula akisusa mwingine atakula one night one night one night stand..
asa baby nipe.. nipe nikupe acha za kung'ata makucha (nipe nikupe) mara unapandisha unashusha (nipe nikupe) mida inakwenda..
mbuzi kafa kwa bucha (nipe nikupe) mbona sasa unayayusha (nipe nikupe?) ukichelewa ntasusa ebu sogea kwa chepa.