![Maji Ya Uzima](https://source.boomplaymusic.com/group2/M1A/AD/72/rBEeNF5yLt2AcKKJAABxV-7QbRM310.png)
Maji Ya Uzima Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2019
Lyrics
Maji Ya Uzima - Zion Njeri
...
Oh ni Yesu
Nilikuwa nikitamani kukata kiu
(Nikitamani kukata kiu)
Nimeimba na kuishi ng'ano za watu
Najiambia nikifanana nao nitafanikiwa kwa yote nitendayo
Si mimi ni Yesu, si watu ni Yesu
Nahitajiiii, maji ya uzima,
ndio nahitaji x2 Maji ya uzima
ndio nahitaji x2 Maji ya uzima
Nimechoka kung'ang'ana, tamaa zangu. Sitosheki na sishibi raha kamwe nimegundua si kwa juhudi zangu, nimekubali ni kwa neema yako
(Neema yako, neema yako)
Si mimi ni Yesu, si watu ni Yesu
Nahitajiiii, maji ya uzima,
ndio nahitaji x2 Maji ya uzima
ndio nahitaji x2 Maji ya uzima X2
Niloweshe Yesu kwa uwepo wako na nishaelewa wewe ndio suluhisho
Sio raha, si anasa,
ooh ni Yesu x2
Si mimi ni Yesu, si watu ni Yesu
Nahitajiii, maji ya Uzima
ndio nahitaji x2 Maji ya uzima
ndio nahitaji x2 Maji ya uzima
Nahitaji maji ya uzima mimi yeah
Nahitaji mimi maji ya uzima woah
Huyu Yesu!!