
Gathigiriri Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Gathigiriri - Kymo & Stigah
...
Jipambe ee jiruse×3
juu Mungu wetu ndo the real jad wo
Mungu wangu the real jad wo
ao wengne Kama tudhigiriri
Jehovah is the real jad wo
ao wengne Kama tuochunguro
cheza Gathigiriri style
chini kauchungulo
cheza Gathigiriri style
chini kauchungulo
kile kishida unaona Ni kikubwa mh mxew
kwake Ni Gathigiriri (Ee)
shida yako kwake Gathigiriri
magonjwa mbele zake Gathigiriri
si juzi juzi nebukandneza
amedhani ndiye mfalme madwk
sema kuliswa nyasi miaka Saba
na the real jad wo
hapo ndo amejua ye Ni Gathigiriri
yaani kauchungulo
mfalme Belshaza c alidhani
ati the real jad wo ni rika yake,
aliandikiwa MENE MENE TEKEL
ndo akajua ye Ni Gathigiriri
Belshaza kametetemeka (eeyh)
hadi magoti yamekutana
Mungu Wangu the real jad wo
hao wengne Kama tudhigiriri
Jehovah is the real jad wo
ao wengne Kama tuochunguro
Jipambe ee jiruse×3
Juu Mungu wetu ndo the real jad wo
cheza Gathigiriri style
chini kauchungulo
cheza Gathigiriri style
chini kauchungulo
kile kishida unaona Ni kinono mh mxew
kwake Ni Gathigiriri (kadogo)
shida yako kwake Gathigiriri(ehey)
magonjwa mbele zake Gathigiriri(eey)
si Nimrod amekusanisha raia
wajenge Babeli wafikie real jad wo
sema Jehovah kuwachanganisha lugha
wametawanyika Kama tudhigiriri
yaani tuochunguro
Nimrod akajua Ni Gathigiriri
yaani kasululululu(alah)
si Musa ametuma tuvijana
Twende tukafanye spying (ee)
Tuvijanaa tukafmrudisha report
watu wa huko Ni watu ma giant
na sisi tumekaa tugidhiriri (Yani)
alaah,Musa kawaambia tutawafyekaa
Juu Mungu wetu ndo the real jad wo(ee)
Mungu wangu the real jad wo
ao wengne Kama tudhigiriri
Jehovah is the real jad wo
ao wengne Kama tuochunguro.
Jipambe ee jiruse×3
juu Mungu wetu ndo the real jad wo
cheza Gathigiriri style
chini kauchungulo
cheza Gathigiriri style
chini kauchungulo
kile kishida unaona Ni kikuubwa mh mxew
kwake Ni Gathigiriri (kadonyee)
shida yako kwake Gathigiriri(ehey)
magonjwa mbele zake Gathigiriri(eeyy)×2
jipambe jiruse×3
Juu Mungu wetu ndo the real jad wo
cheza Gathigiriri style
chini kauchungulo
cheza Gathigiriri style
chini kauchungulo