
Gorokia Lyrics
- Genre:Reggae
- Year of Release:2020
Lyrics
Gorokia - NellyTheGoon
...
aaah mana bad man ting
Ashi twende ..
me ni fyat nilimdinya nikakuwa pedi
kana nyama kicheka nakuwa keki bila riz me hutinga na gazeti nikusere sere Serengeti ngeus wako na mguza sehemu nyeti kabla mechi tu seti hizi gurneti ka ayela ka jaba hamurumeki kufa ganzi zawadi ya mkurugenzi
Go Go Gorokia rietete na gorokia ×2
gorokia na gorokia rietete na gorokia gorokia na gorokia rietete na gorokia..
Nimeficha ndani ya socks shada au ngale na nashoot toka nje ya box ndani au ndani uta slide kwa DM me maganda nitakuja na mashuksha kupandana siku suki namba ka manamba kuna difference ya due rag na bandana
Go Go Gorokia rietete na gorokia ×2
gorokia na gorokia rietete na gorokia
nimashash si manyaru mwenye wivu amezee kiwaaaa..ru raru raru nyambura popote kuna ka room me hucheki mangwati mpaka za ma cartoon si ogopi Kukusho I love you tukiwa ndani ya matatu .
Vuta nyongi hadi nai kula kisha na sekete my kuna ingiza pole pole my ndula daily birthday yangu my kuka yangu mpaka ndani na mfupa kunyi haipanui ndo hui nuka kunatupa jasho kwa hii bukla watu wako mchele nama buglaaah
Go Go Gorokia rietete na gorokia ×2
gorokia na gorokia rietete na gorokia..×2