![Tempo](https://source.boomplaymusic.com/group2/M00/0D/5D/rBEeNFi353qAfe6IAABR450klL8987.jpg)
Tempo Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2015
Lyrics
Tempo - Dufla Diligon
...
Dufla Delligon (Na imetoka Grandpa)
Aaah mi na mmm nang'ang'ana
MI na mmm nang'ang'ana
Ukisonga mi nasonga my girl (Na hio tempo)
mmm nang'ang'ana
mmm nang'ang'ana
Ukisonga mi nasonga my girl (Na hio tempo)
Take it over
Take It over Nitashika hio Tempo
The way you move your body Umetake it over Lakini Kaa ukijua nitashika hio tempo
Girl, Me love the way you having fun
In addi club
You shut ur body fall I love
Me love the way you move your body with the tune Move your legs move your beauty finger with the tune
Me love the way you bounce it bounce it
stay to your upper girl you make me feel weak
Ntakutunza kama toto ntakulea
Ngojea ntakuongezea mbolea
Na penzi letu limee kama mimea
Ingali mafisi wanakunyemelea
Aaah mi na mmm nang'ang'ana
MI na mmm nang'ang'ana
Ukisonga mi nasonga my girl (Na hio tempo)
mmm nang'ang'ana
mmm nang'ang'ana
Ukisonga mi nasonga my girl (Na hio tempo)
Take it over
Take It over Nitashika hio Tempo
The way you move your body Umetake it over Lakini Kaa ukijua nitashika hio tempo
you know me
my girl my hold me
na kwako mi sitoki Tena sikomi
if you love me my girl
just call me
mapenzi yetu yanazidi hata kipimo
nakuenzi
my girl kishenzi
mapenzi yako kwangu yako best
you're the best thing
put it to the testing
nipe nafasi girl nami ntakupa penzi