Watasema by T.I.D Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Watasema by T.I.D - Various Artists
...
Wahenga walinena..
chanda chema huvishwa Pete
Vijembe likasemwa..
Ili mradi unikose
Si utani unanidhamini..
Uko tayari tufe wote
kama ua yachanua
na wenye wivu wajinyonge
Watasema sanaakisha watalala
(Na kisha watalala)
Kama kunipenda najua wanipenda sana
(Oiyeeh)
Watasema sanaa kisha watalala
(Na kisha watalala)
Kama kunipenda najua wanipenda sana
(Oiyeeh)
Kama kweli unanipenda
Simama wima cheza zeze
Na siamini sitoimba
Tuko wote Mimi na wewe
Kwa kweli nakupenda mpenzi kwa kweli Mimi mwenzio sijiwezi
Na isiwe kama siku kama hizi nakukosa mpenzi
Watasema sanaa kisha watalala
(Na kisha watalala)
Kama kunipenda najua wanipenda sana
(Oiyeeh)
Watasema sanaa kisha watalala
(Na kisha watalala)
Kama kunipenda najua wanipenda sana
(Oiyeeh)
Wote wotee...
Chanda chema huvishwa Pete
Mabete betee..
Ili mradi unikose
Mtose tosee..
Uko tayari tufe wote
Wote wotee..
Wenye wivu wajinyonge
Nazizi..
You know what a gwaan.
Mbona wanasema na usiku wanarun
Lazima in majangu Jo I am a chichiman
Nijenge na sanaa na mwisho nitamwaga damu.
N.A.Z.I.ZI na T.I.D
Acheni kutunga hadithi Ili muuze gazeti
Jua mchana Utatoka usiku utazama mwezi
wavishi watalala T.I.D
Watasema sanaakisha watalala
(Na kisha watalala)
Kama kunipenda najua wanipenda sana
(Oiyeeh)
Watasema sanaakisha watalala
(Na kisha watalala)
Kama kunipenda najua wanipenda sana
(Oiyeeh)