Leo ni Leo by Prezzo ft T.I.D Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Leo ni Leo by Prezzo ft T.I.D - Various Artists
...
(CHORUS) (TID)
mazee club imebamba
bro nakuambia leo ndio leo...
madame wamemwagika
wote nawaona wakikatika...
ngoma imetushika
mpaka sisi wote tunawika...
ngoma imetushika
mpaka sisi wote tunawika...
(Prezzo)
TID, na Prezzo tuko kwenye club
looking fresh and clean twa-sip tots (za vodo)
wachizi wamejaa, pia mamanzi so
take your matako straight kwenye dance floor
acha zako so sio mchezo
mi nataka tuwe tighter than tight bila vikwazo
CMB tumewabamba jo
na mahaters wote tumewapiga rugged-and-raw
wenye wivu wote wajinyonge
mi nazidi kupokea baraka zangu tele
basi, basi wacha niendelee
kupiga makelele, haree kama klepto
steez zangu ni kali sio uwongo
mamanzi wakiskiza wanakata kiuno
ma-haters, niko ndani ya 4.0
bado na-floss jo
bado nazidi ku-roll
bling bling kwenye neck kwenye mkono
mi nametameta mi na-reflect kama kioo
bling bling kwenye neck kwenye mkono
mi nametameta mi na-reflect kama kioo
(CHORUS) (TID)
mazee club imebamba
bro nakuambia leo ndio leo...
madame wamemwagika
wote nawaona wakikatika...
ngoma imetushika
mpaka sisi wote tunawika...
ngoma imetushika
mpaka sisi wote tunawika...
(TID)
kweli leo ndio leo (msema kesho ni mwongo)
bonge moja la collabo (twapendana na Prezzo)
Nairobi mpaka bongo
all my ladies
kwa mamanzi
na mabeste
na madame wote (leo ndio leo)
sikia ngoma
imebamba club
all the honeys say
bling bling na pamba kali tunapiga
kwa hii mic twapindana na kubalika
Nairobi London Kampala nawakilisha
kama unabisha muulize mwangadula
can you dance with me tonight
can I drive you home with me tonight
(CHORUS) (TID)
mazee club imebamba
bro nakuambia leo ndio leo...
madame wamemwagika
wote nawaona wakikatika...
ngoma imetushika
mpaka sisi wote tunawika...
ngoma imetushika
mpaka sisi wote tunawika...
(Prezzo)
ngoma imetubamba like woah
madame wanatembea na mahaga like woah
si unajua wanapenda attention
na kama uko curious mi naitwa Prezzo
so let's go
mpenzi njoo
twende kwenye dance floor
let's go
tukajirushe
let's go
tukakatike
kwani hapa ni mpaka mpaka che
CMB, TID, ndani ya VIP
chupa za champagne tuna-pop (money ain't a thing)
ma-phat rhymes tuna-drop (rhyming ain't a thing)
picture me rolling in a drop (flossing ain't a thing)
don't believe me?
muulize Big T
ama mwambie Styles akulete Casa B
maisha mazuri guarantee ya CMB
Prezzo in collabo, rolling with TID
tumewashika jo
tumewabamba bro
TID this time bring the chorus in
tumewashika jo
tumewabamba bro
TID this time bring the chorus in
(CHORUS) (TID)
mazee club imebamba
bro nakuambia leo ndio leo...
madame wamemwagika
wote nawaona wakikatika...
ngoma imetushika
mpaka sisi wote tunawika...
ngoma imetushika
mpaka sisi wote tunawika...