
Siyawezi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2025
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Siyawezi - Aslam Tz
...
instrumental playing
nilikesha macho nikitazam taswira ya uzur wako
kumbe nilifuga jini nimekosa fadhila ya matend yako tofaut na umri ulionao
na hakuna ukwel kwamba unaniweza sana nilikuzoeaaah
nje ya hapo ni tabia zetu tu zilishibanaaah
na najua na ukwel unaujua ulikua na mm wend sikukuvutia haukupend moy ulipend nilivyo kucare
ushantoa relin kwa mung utanijibia maswali
imani imenshindwa nimeshindwa nimeshindwa nimeshindwa
siyawez yatanitoa uhai siyalazimshi huenda labda sifai ×2
nilikua nakupend ulifos huoni
hupig hutumii mesej had nianze mm
uliendekeza pombe kumkaribisha shetwan
tunagomban hatupatan aman hakuna .
tulishindwan meng mengine niliyaona
umelivunja daraja ulichana haukushona aaah
oooh nalivua nilichoka nimekubali japo nitazipata dosari usingiz wa tabu wasili kikwazo
najua na ukwel unajua ulikua na mm wenda sikukuvutia
haukupend moyo ulipenda nilivyoku care
ushantoa relin kwa mung utanijibia maswal
imani imeshindwa nimeshindwa nimeshindwa nimeshindwaaaa nmeshindwa
siyawez yatanitoa uhai siyalazimish huenda labda sifai
instrumental playing.......
written by babe seky ......