
Flow Ya Licky Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2025
Lyrics
Licky ni ka nina rap disease
Siwezi loose, god forbid
Skia my g vile beat ina kick
Mpoa ni kasee hachoki na stick
Niko juu ya konyolo manze imepick
Me hustake vizii, siogopi ku risk
Hii ndio mwaka nashika ki blick
Niko na maziwa niko na ki milk
Naingia bankiko ni straight to the teller, na cash ki cheque naskia nimenice
Ujaka inafanya natumia hela, i'll get you whatever no matter the price
Ma nigga wanasema manze nime lost nimesunda ki white design ya rice
Mokoro anazua sijamvutia na hajaniskia ka 40 nights
Design me hunyuria ma beat, nafaa nikuwe nyuma ya bars
Ile shit me hudo kwa sheets, unaeza dhani niko only fans
Ati licky ni msee mfiti, mbona, ye hujibu dm za fans
Na tena ye hurap vizii wah, uskii he's the only one
Licky, nini!
Manze uskii ni sato jo
Rada ni gat na alcohol
Nlikuwa na beef na a few of my bros
Naezaje kutrust na bado unicross
You play i play hakuna ku pause
Na flex sana just because
Me ni msee mbigi i stand on my toes
Licky we know you the best
She gave me brain she passed the test
Soon as i ssssshhhhh i'm on to the next
Uskii niko high kushinda ki nest
Naskia unakula ki gat
Naskia ulishika ki gun zii
Nadai ki yatch kwa nam
Juu me ndio mtoi wa pam
Licky ni murderer juu ya vitu me hufanyianga beat za fyat
Niligo vi crazy bruh kwa beat nilitumiwa na fyat
Utakula ki blue tick, niko kwa kirai me sidai ku chat
Nlikuwa ki good kid juu kila sunday nlikuanga church
Licky nlisomanga ryma patch
Na nilikuwa na doz class
Nikiwa mjunior nilikuwa na chai mokoro wa me mambao kwa purse
Nikiwa pikin nlikuwa patch nlikuwa nadara ma dem kwa class
Ukiskia uduu we unaeza catch
Mbogi inajua manze ni facts Licky