
Mtakatifu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2025
Lyrics
Tuanzeje kueleza yote Umetenda
Maana Umetufanyia wema wa ajabu
Jinsi gani tutaonyesha upendo wetu
Twaungana na Mbingu tukisema
Mtakatifu Baba
Sifa zote Kwako
U mwaminifu
Twakuabudu
Utukufu ni Wako
Wewe ndiwe Mfalme
Twainama mbele Zako
Twakuadhimisha
Twakupa heshima
Bwana wa mabwana
Mikono yetu haitashindwa kukuinua
Vinywa vyetu havitasita kukuimbia
Mioyo yetu haitakoma kukupenda
Tutaungana na Mbingu milele tukisema
Mtakatifu Baba
Sifa zote Kwako
U mwaminifu
Twakuabudu
Utukufu ni Wako
Wewe ndiwe Mfalme
Twainama mbele Zako
Twakuadhimisha
Twakupa heshima
Bwana wa mabwana
Twakuadhimisha
Twakupa heshima
Bwana wa mabwana
Twakuadhimisha
Twakupa heshima
Bwana wa mabwana