
NIKUHESHIMISHE Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Nina tamani nikupendeze
Yesu yesu
Nina tamani nikuheshimishe weh
Yesu yesu
Nina tamani nikupendeze
Yesu yesu
Nina tamani nikuheshimishe weh
Yesu yesu
Matendo yangu mavazi yangu
Maneno yangu yote yakuheshimishe
Fikira zangu njia zangu
Na utu wangu wote ukuheshimishe
Ninatamani ujulikane weh
Yesu yesu
Ninatamani nikuheshimishe weh
Yesu yesu
Oh ninatamani ujulikane weh
Yesu yesu
Ninatamani nikuheshimishe weh
Yesu yesu
Matendo yangu mavazi yangu
Maneno yangu yote yakuheshimishe
Fikira zangu njia zangu
Na utu wangu wote ukuheshimishe
Matendo yangu mavazi yangu
Maneno yangu yote yakuheshimishe
Fikira zangu njia zangu
Na utu wangu wote ukuheshimishe
Pokea sifa sujudiwaa
Mfalme mwema wewe uheshimishwe
Jehova shammah jehova nissi
Jehova jireh mimi nikuheshimishe
Aaah ahhh
Aaah amen amen
Aaah aaah
Aaah amen amen
Amen amen amen ameeen
Amen amen mimi nikuheshimishe
Amen amen amen ameeen
Amen amen mimi nikuheshimishe
Adonai yahweh
Jehova rapha mimi nikuheshimishe
Elyon emmanueli
munguwangu mimi nikuheshimishe
Aaah aaaah
Aaah amen amen
Aaah aaaah
Aaah amen amen
Amen ameeen amen ameni
Amen amen mimi nikuheshimishe