
Mkwawa X Iceboy-Nipo Nae Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2025
Lyrics
#### *Intro*
Ye yea
Ouu uuuuuu
---
#### *Verse 1*
Yea sikia
Sisi tulishagombana
Tukapatana hatujaachanaa
Tena tukafumaniana
Tukagombana na tukapatana
Sisi tumezoeana baba na mama
Hakuna kutengenaaa
Na Tumepigwa Vita saana
Mabomu ya iloshima
Bado tumeshikamanaaa
---
#### *Hook*
Yupoo na mimi bebe
Haniachi mi milele
Na mi nipo na yeye bebe
Si muachi ye milele
---
#### *Pre-Chorus*
Nipo nae
Nipo nae
Nipo nae
Nipo nae
Nipo nae
Nipo nae
---
#### *Chorus*
Mi na yee foreevaa
Bado nipo naeee
Kuachana nae neverr
Bado nipo naeee
Mi na yee foreevaa
Bado nipo naeee
Kuachana nae neverr
Bado nipo naeee
---
#### *Verse 2*
Ashanifuma na mademu kibao na aka chill
Visa vitu kibao vya kikatili
Nishamkuta tu sehemu
Anapiga deal
Akanipanga me ndo wa kwanza yule wa pili
So chill boo
We need money so listen honey
For real boo
Am here for money
We get money
Akinipanga napangika
Twanga natwangika
Anua anika
Penzi moto moto na
Tushahama tandika
Nawaza tarehee
Yakukwacha sijui ni lini
Kote uko na mimi
Toka zile enzi me nabarehee
Hatuna habaree
Tuko sale sale sale sale
---
#### *Hook*
Yupoo na mimi bebe
Haniachi mi milele
Na mi nipo na yeye bebe
Si si muachi milele
---
#### *Pre-Chorus*
Nipo nae
Nipo nae (Mondaay to sundayy)
Nipo nae
Nipo nae (January mpaka December)
Nipo nae
Nipo nae (Mondaay to sundayy)
---
#### *Chorus*
Mi na yee foreevaa
Bado nipo naeee
Kuachana nae neverr
Bado nipo naeee
Mi na yee foreevaa
Bado nipo naeee
Kuachana nae neverr
Bado nipo naeee