
Kanyaga Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2025
Lyrics
Life bila Yesu, hio ni makosa
Mi nilibatizwa hio kitu ikanitoka
Sahi ni Holy Spirit ndio inafanya nazitoka
Shetani ameshindwa, Yesu ameconquer
Yesu amekanyaga kichwa ya nyoka
Kanyaga, kanyaga kichwa ya nyoka
Yesu amekanyaga kichwa ya nyoka
Kanyaga, kanyaga kichwa ya nyoka
Yesu amekanyaga kichwa ya nyoka
Kanyaga, kanyaga kichwa ya nyoka
Yesu amekanyaga kichwa ya nyoka
Kanyaga, kanyaga kichwa ya nyoka
Mwokozi wangu alizaliwa Bethlehem
Wakajaribu kumalizia Jerusalem
Lakini wapi, Yesu kafufuka
Three days later tunasemanga ni jokes on them
Sahi mi ni fisher of men sio wa Baringo
Ju nilisare kila kitu bila maringo
Sahi nafeel kama David, cheki mastingo
Na nikuimba hallelujah kila wimbo
Yesu amekanyaga kichwa ya nyoka
Kanyaga, kanyaga kichwa ya nyoka
Yesu amekanyaga kichwa ya nyoka
Kanyaga, kanyaga kichwa ya nyoka