![Mbaya](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/05/32047a329f494ebab2d2cbc92f6fc5baH800W800_464_464.jpg)
Mbaya Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2025
Lyrics
.Lyrics
Intro:
Mbaya mbaya mbaya mbaya
Mbaya mbaya mbaya mbayaaa(x4)
Verse 1:
Figa 8 ongeza moja ikue 9
Sigusi kaa ya mutu Acha ikue mine
Floor basi Acha ikue mezzanine
Ka nikumeza basi woi girl
Kaa kukunoki crime nitadu the time
Nifunge nipige chain bora ndom fine
Wataveta huaga tighter nipige kitu wide
Number 7 si unajua kucheza wide
Staki gin nipe wine staki vodo staki whiskey nipe wine
Staki Ndege dandia ndudhi nipe ride
Cheki bumper eh!Bumpy ride.
Chorus:
Unaitaka..Eeh!Unaitaka..ntaipiga
Nakuanga nimekunoki(mbaya)
Nakuanga nimekunoki (mbaya)
Nakuanga nimekunoki (mbaya)
Ntaipiga(sana)unaitaka..trrr boom!
A TiTiTi Che..cheki booty so fire
Sit down Pon it lemme bust tone tyre
Nikaa tuko ulaya hapa mambo ni mbaya
Pale mtaani Kuna flier inasema naja na choir
We only but we don't hire
Shopping dubai bado na inquire
Usinicash utani wire they told me we ni lier
Nawacheki wanagwaya we ni owner we si buyer!
Chorus
Unaitaka..Eeh!Unaitaka..ntaipiga
Nakuanga nimekunoki(mbaya)
Nakuanga nimekunoki (mbaya)
Nakuanga nimekunoki (mbaya)
Ntaipiga (sana)unaitaka..Trrrr boom