Mara Ya Mwisho Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2020
Lyrics
Sikujua ilikua mara ya mwisho
Kukuona
Mara ya mwisho
Kuonana
Ningejua ningekukumbatia zaidi
Mara ya mwisho
Juzi niipitia ma area
Tulizokua tukuienda
Pamoja
Nalia moyoni kwani
Sikujua ilikua
Mara ya Mwisho
Ulienda bila onyo
Haukusema hautarudi
Ulienda bila kusema ya kwamba
Ni mara ya mwisho