![Confession](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/25/2fbdea7f83014f03a2ab6531a08f9252H3000W3000_464_464.jpg)
Confession Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2025
Lyrics
It's EXPENSIVE
Here we gooo
Okay
Skia ilikuwa masihara jana tuko home leo amekufa
Alikuwa mzima kabisa kifo ndoto ndo imefika
What we are asking here ni kwamba alikuwa mzima mbona gafla
Hakuumwa kichwa wala nguvu hazikumwisha mbona gafla
Imebaki story kubwa yenye plans bila mastermind
Niga aliyejipinda sie tuvimbe bila hata kudoubt
Ashafanya vingi what am saying he was more than that
Love aliyotuonyesha ukiacha pesa he gave us everything
Stress stress ukiacha I don't know what killed a good man
Moyo ulio na mengi yenye heri ukaacha bad man
Ashajitoaga sana zaidi ya vocha na m-pesa basi
Ungeacha Aishi sana ungenibeba hata Mimi Yani
Alikuwepo kwenye shida au raha
Ng'ombe wa maskini akazaa
Alikuwa zaidi ya jamaa tabu zetu alizivaa
Alikuwa hataki unafki urafiki ulikuwa na vingi
Sometimes Alikuwa na uchungu na upendo ulileta vingi
Ask your self
Ask yourself
Ask your self
Ask yourself
Ask your self
Ask yourself
Ask your self
Ask yourself
Ask your self
Ask yourself
Ask your self
Ask yourself
Ask your self
Ask yourself
Aaah!!
Utani utani siku week mwezi mwaka unakatika
Moyoni mwangu nakidonda wamaana wengi nishawazika
Sikusita sikubisha roho nyingi tushazika
Machozi Bado hayakutosha so tuliomba mvua tunawe
Inauma sana kuona yule niliempenda sana amekufa
nilietamani afe Bado ndo kwanza hana hata hofu
Maskani unapaona gofu Nikilala namwona Yesu
Hofu hainiishi kila nikiwaza najiona mfu!
Ogopa sana story ya mwamba aliyejikuta ye hatokufa
Alijitapa sana usiku kulikucha nae amekufa
Nilitamani aamke tena nikumbushe aliyoyasema
Unapopanga mipango yako add death to your plans
My best Alikuwa Bora zaidi yangu I know you know that
Najiuliza wapi alipo sasa oowh! No
Hujiulizi why we die so early na hakuna anae question
Now still we are trying to fake don't qn that.
Hell
Ask your self
Ask yourself
Ask your self
Ask yourself
Ask your self
Ask yourself
Ask your self
Ask yourself
Ask your self
Ask yourself
Ask your self
Ask yourself
Ask your self
Ask yourself
Ask yourself
Ask yourself
Aaah!!!
We live once
Am out!
E.mind