
Nina Haja Nawe Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2018
Lyrics
Nina Haja Nawe - Joan Wamuyu
...
1..Nina haja nawe, kila saa,
hawezi mwengine, Mimi kunifaa*2.
2..yesu nakuhitaji ,hivyo kila saa,
niwezeshe mwokozi,Mimi nakujia.
3..Nina haja nawe, baba kaa nami,
na maojo haya, hayaumi kamwe.
4..Nina haja nawe, kwa kila Hali,
maisha ni bure,ukiwa mbali.
5..Nina haja nawe, nifundishe,
na ahadi zake,zifikishe.
6..Nina haja nawe, muweza yote,
mi wako kabisa,siku zote.