
Umenitoa mbali Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Umenitoa mbali - Koppa Gekon
...
Amenitoa mbali Babaa.... umenitoa mbali Baba..
umenibadilishia story...×2 naitwa mbarikiwa
.....uuuuuuu
umenibadilishia story...×2 naitwa mbarikiwa..
uuuu.....
Mungu Baba una mpango mwema juu ya maisha yangu
jina la Yesu una mguvu kubwa..........
..............
umenitoa mbali Baba..×2
umenibadilishia story..×2 naitwa mbarikiwa ..
uuuuuu......
umenibadilishia story ..×2 naitwa mbarikiwa..
uuuuu......
katika safari ..ya maisha haya, sitakuwa pekee yangu..
hata siku moja,,....
Yesu anatembea nami popote niendapo,
mwingi wa rehema , hutuokoa na dhambii..
umenitoa mbali Baba..×2
umenibadilishia story ..×2 naitwa mbarikiwa..
uuuuu....
umenibadilishia story..×2 naitwa mbarikiwa...
....
music playing...............
.......
.
......