Ediga Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Ediga - Best Naso
...
Mmmmmhhhhh!
Aaahaaaaa
mmmmmhhhhh
kabla ya kifoooo, eheeee!
Kabla ya kifoooo (pasuka pamoja records)
kwanza kabla ya kifo kilichoanza ni story za maisha,kabla ya kifo kilichoanza ni story za maisha
Alichosema Ediga kwamba twende the saka,alichosema aah Ediga kwamba twende the saka
nikauliza wapi kwa jina akanijibu geita,mtaani twapoteza time ni Bora twende kwenye machimbooo,tunaongea twacheka mara defender,askari wakashuka
walichosema hands up hapo mlipo hakuna kuondoka
Nlichojua ndo zile shikashika za siku zoteee,mchizi wangu Ediga tujikaze tusiogopee,mara Afande akatoa sauti ilimuamuru Ediga ageuke nyumaaa
Oooh Ediga mchizi wangu sitomuona tenaa,oooh Ediga mchizi wangu sitomuona tenaa,tulikua maskani tumekaa kapigwa shaba kwa macho naona, tulikua maskani tumekaa kapigwa shaba kwa macho naon,
(2nd verse)
alivyoogeuka nyuma nikamuona Afande akikoki yake machine gun,akamshoot mamaaa mchizi wangu Ediga akaanguka chini,alivyoanguka wakam'beba wakamrusha ndani ya gari nyumaaaa,ikawa mwisho wa kumuona mchizi wangu tuuloshibana,taarifa zikaja eti mchizi alikua ni jambazi na alishasakwa Sasa yapata miaka miwili na miezi,wakati eddy sio mwizi na tunajua kazi anazofanyaaa,hua naona huruma nnavyomuona shemeri jumaaaa
Oooh Ediga mchizi wangu sitomuona tenaaa, oooh Ediga mchizi wangu sitomuona tenaaa, tulikua maskani tumekaa kapigwa shaba kwa macho naona, tulikua maskani tumekaa kapigwa shaba kwa macho naona
(3rd verses)
Nalikumbuka jina lake la utani "Krishna" sitomuona,aloniokoa kijijini mbugani kwa ajari ya Moto wangenichoma, nalikumbuka jina lake la utani Krishna sitomuona,aloniokoa kijjijni mbugani kwa ajari ya Moto wangenichoma.....