sonwabile Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Wanaume wa vile
(Aaaah) Tunapendana, (Aaaah)
Walijaribu kututenganisha, (Uuuuuh)
Hawakuweza, (Aaaaaaaah)
Acha basi wavumilie
Usi-focus-I na kelele, (Aaaah)
Zinazo nawiri, (Uuuuuh)
Penzi liwe la ajabu, (Aaaah) ajabu la (Aaah)
Ona vile
(Uuuuuh) Tuna wachanganya, (Aaaah)
Walijaribu kututenganisha, (Uuuuuh)
Hawakuweza, (Aaaah)
Acha basi wavumilie
Usi-focus-I na kelele, (Aaaah)
Zinazo nawiri, (Uuuuuh)
Penzi liwe la ajabu, (Aaaah) ajabu la (Aaah)
Na tuwe happy, mtu wa me, (Aaaah)
Na tuwe happy, nimumunye. (Aaaah)