![MAMA](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/14/f5fe4643117048b19027e3c6129fd8c8H3000W3000_464_464.jpg)
MAMA Lyrics
- Genre:Rock
- Year of Release:2024
Lyrics
Pokea salamu mama popote ulipo oooh
Mwanao bado nakazana riziki motoo pasii ooh
Naskia mjomba kangwana ghorofa amejenga oooh
Wauliza vipi wako mwana nko mjini na sijajengaa
Mama mjini sio rahisi uwezi kutoboa bila rafiki
Upati kazi bila visenti mama huonge onge ndio upate kazi
Mama mwanao silali kama mchwa mchana usiku
Nafanya kazi zisizo na faida mradi nipunguze shida
Nakumbuka nyumbani nikitoka nilikuahidi n'takujengea mama
Na madeni dukani ulikopa usijali n'talipa yote maaa
Mdogo wangu asikate tamaa kama ni karo n'talipa
Najua nyumbani hali yenu sio shwari ujui usiku utakula nn
Chorus
Mama
Mama yangu mama
(Bado napambana mama)
Mama
Mama yangu mama
(Mola akitaka atatupatia)
Mama
Mama yangu mama
(Bado napambana mama)
Mama
Mama yangu mama
(Na sisi tutapata tutatumia)
Umetulea peke yako tumejua wewe ndio baba ndio mama
Baba alikuacha peke yako lakini ulitupambania tukasoma
Achana na majirani zetu wanafki wanaokucheka ubadili slippers
Mwanao najituma sana sijakata tamaa ulinifunza heshima nakumbuka mama
Ata mpenzi nilo cheza naye kibaba alinikana alipopata mbaba
Lakini najua kwa dua zako mama ndio zimefanya nifike leo ooooh
Mdogo wangu asikate tamaa kama ni karo n'talipa
Najua nyumbani hali yenu sio shwari ujui usiku utakula nn
Chorus
Mama
Mama yangu mama
(Bado napambana mama)
Mama
Mama yangu mama
(Mola akitaka atatupatia)
Mama
Mama yangu mama
(Bado napambana mama)
Mama
Mama yangu mama
(Na sisi tutapata tutatumia)