![Jiko ft. Kris Erroh](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/13/758ff39245ae44adb89b504a96d4f110H800W800_464_464.jpg)
Jiko ft. Kris Erroh Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2024
Lyrics
JOSH MANiO - JIKO FT KRIS ERROH, LYRICS
Verse 1 (MANiO)
Maua, Maua na mmupambe na Maua,
Ni siku ilioijaza na Dua, niko sure
Halua, halua na mmlishe ni halua,
Ni siku haiwezi haribiwa hata mvua
Hivi vile nimekaza tumbo, ndio ntajikaza nawe
Hapa leo ni zaidi ya fumbo, nishasukana nawe
Security pigana kumbo, mtu asisumbue
On my wedding day
Chorus *2
Jiko, Jiko
Nishampata Jiko ye,
Aliko, aliko
Ashapata jiko naye
Vamp
Aaaaaa
Yoyoyo
(Mapenzi kwa menu,
after Leo unajua hurudi kwenyu)
Verse 2 (ERROH)
Girl seti, karibu kiti lemme say it
Imekuwa long time, now see we made it
Maua ye, maua
Nimekuandikia ka love song,
Ni ka real, ni ka hearts on
Nikatamu kanadonjo,
Kukuprotect nitaenda hadi dojo,
Kukupenda ni rahisi,
Wanifanya nina feel ka rais
Kila kitu presidential,
Twende kwetu tunatoka residential
Mapenzi kwa menu,
After Leo unajua hurudi kwenyu,
Mi ni gwiji hi mtaa,
Huwezi potea karibia huyu star
(Sing)