Skifani Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Promota hawavunji bei,
Wanangu wananikataa,
Daily napiga show, ma mtu ananishangaa,
Wanangu wananipa hope,
Napunguza fedheha.
Njoo tuishi maisha ya ukweli,
Tunaishi maisha ya ukweli,
Njoo tuishi maisha ya ukweli (×2).
Unataka kiki sio, sikujua,
Washamba wanataka kiki sio, sa ndo nini,
Washamba wanataka kiki sio, sio,
Wanataka kiki sio, sio.
Njoo tuishi maisha ya ukweli (×4),
Njoo, njoo, njoo, twende.
Wabish atuchoreki, utamaliza ufutio,
Atakama unakunya keki, hatuna ufagio,
Ukileta michongo fake, nakupa forsake,
Nakupa kisiwa sheri, nakuchinja kweli.
Mazoea yananipa shida,
Nachoreka, naonekana,
Mi nakumbatia shida,
Me siwezi kula raha, wanakula shida.
Kama shida basi kwetu kawaida, kiAlqaida,
Me sijamwona Osama nani,
Kwa huku wanatuma drones bila ruban,
Hatakama sina mia, me siwezi kujutia,
Nikipata bilioni mia, me siwezi kuwavimbia.
Me matupa sielewi tena bado,
Nipo Bongo na Bongo hakuna michongo,
Napagawa.
Me machicha sielewi tena bado,
Nipo Bongo na Bongo hakuna michongo,
Napagawa, napagawa sana,
Napagawa (×3).
Sio kama nawazalau kusema sifagilii,
Sio kama najisahau, mi nalinda CV,
Na ndo maana wakidiss me sikanyagii,
Me nakuja kinyamsisi, siwambii.
Twende.
Navunja kikao, washamba kibao,
Masnitch kibao, tutapataje mafao,
Navunja kikao na paparazi kibao,
Wachawi kibao.
Maisha magumu, kila mtu anavuta ndumu,
Na kisa mapenzi mwantumu,
Amekunywa sumu,
Mtoto anasoma na bado ana majukumu,
Bado resikali kwa huku inatuhujumu.
Miziki inapanda bei,
Wauni wanashuka bei,
Matupa akipita sheli,
Mafuta yamepanda bei,
Nikipita dukani, bidhaa zimepanda bei,
Me napita nyau wauni (hawajitetei ×3).
Promota hawavunji bei,
Wanangu wananikataa,
Daily napiga show, ma mtu ananishangaa,
Wanangu wananipa hope,
Napunguza fedheha,
Nakokota gari bovu kibishi natembea.
Sio.
Ona kipenzi anasema sio lazima pesa,
Mapenzi yanatosha,
Me nasema sio kweli, nabisha kabisa,
Sa chuki za nini kati yetu mi na yeye,
Mi na yeye kama kweli.
Me sitaki mapenzi kideo, twende,
Hatuishi maisha ya kideo (×2),
Njoo tuishi maisha ya ukweli.
Unataka kiki sio, sikujua,
Washamba wanataka kiki sio, sa ndo nini,
Washamba wanataka kiki sio, twende (×4),
Unataka kiki sio, sio, sio, sio.
ChewaSo.....NDIVYO....SIVYO.......
Twende (×4) izoooooo Skifani.
Njoeni (×7),
Njoeni (×4) tuluke Skifan,
Karibun (×2) Bongo mpaka Ughaibuni...
Njoeni njoeni.......turuke Skifan,
Njoeni (×4) turuke Skifan,
Miziki ya skifani, miziki ya kijani,
Miziki ya nyumbani tuipe thamani,
Tusipojipenda sisi, atatupenda nani,
Tusipojijali si, atatujali nani,
Tukila mizoga kama fisi, atawinda nani.
Twende.
Kesho nitapiga show, kiingilio milioni mia,
Kiwanja kimejaa wauni wanachungu...
Na kama unavyonijua,
Sina muda wa kupoteza,
Nikipiga show, kila mtu anacheza cheza,
Sio poa, washamba wanafagilia,
Tuwe makini kwenye kazi,
Washamba wanatuharibia, twende,
Me kama kobe najiiNamia,
Napiga jealous down, nashushia na bia.
Kuishi maisha ya ukweli........twende,
Kuishi maisha ya ukweli..
Wauni wengi tunafeli,
Sa mbona wananizalau kisa naimba singeli,
Lazima niseme kweli, haina mfagilie nani,
Wote tuishi kiitkeli..we nanii,
Tunaishi kiitikeli, we nani.......twende (×2).
Mirungi na bangi, sigara na pombe,
Sio kiboss (×2), sio kinyonge,
Tukilenga (hatukosi ×2) kila upande,
Tukifos manoti tusitambe,
Tujenge future, asubuhi kumekucha,
Nabishana na ukuta, wakati ni ukuta,
Bongo nchi mbovu, kimenuka,
Nabinjuka kwenye ukuta...wewe.
Izoooooo..wew.
Promota hawavunji bei,
Wanangu wananikataa,
Daily napiga show, ma mtu ananishangaa,
Wanangu wananipa hope,
Napunguza fedheha,
Nakokota gari bovu kibishi natembea.
Unataka kiki sio,
Unataka kiki sio,
We bishoo njoo tuishi maisha ya ukweli.