Naogopa Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2024
Lyrics
OBELIA SEA FUR
NAOGOPA AH AH
OBELIA AAAH
MI MPOLE WAPENZI LAKO, ILA WEWE UTAKI TAMBUA
HALI GANI UNATAKA NIWE, KAMA HIVI UWEZI NIPENDA
NILIJITOSA KWA PENZI LAKO, BILA KUJALI NINI UNGETENDA
HIVI LEO NI MIMI NALIA,
HUKU WEWE WAHISI NAKUONEA
HIVI LEO NI MIMI NALIA,
HUKU WEWE WAHISI NAKUONE
USINGENIPITISHA KWENYE DHIKI, PENGINE HIVI NISINGE WAZA
LABDA UMENIPIGA KATA FUNUA, BASI SEMAA
AHHHH
KAMA KWELI,
HILI PENZI HALINA MANA NIAMBIE
KAMA KWELI,
HILI PENZI LINA KUUDHI NIELEZE
KAMA KWELI,
HILI PENZI HALINA MAANA NIAMBIE
KAMA KWELI,
HILI PENZI HALINA LADHA NIJUZEE
AAHH AAHH
……………. INSTRUMENTAL ……………
NAFSI INAHISI MIMI NITOKE, MOYO HUKU UNASEMA NIVUMILIE
MUDA TU NDIO UNAHITAJI, ILI NAWE UBADILIKE
NIKIWAZA ULIVYO NINASA, MOYONI UCHUNGU NALIAA
MTOTO MREMBO WAKISHUA, HAUNABUDI KUZIMIA
ILA MATENDO DAH…….! NAUMIA
VIPI NIFANYEJE
NAFSI YANGU AAH……! INAUMIA
LAKINI BADO MI NAMPENDA
LABDA UMENIPIGA KATA FUNUAA BASI SEMAA AH
KAMA KWELI
HILI PENZI HALINA MANA NIAMBIE
KAMA KWELI
HILI PENZI LINA KUUDHI NIELEZE
KAMA KWELI
HILI PENZI HALINA MAANA NIAMBIE
KAMA KWELI
HILI PENZI HALINA LADHA NIJUZEE
AAHH AAHH X 2