Mwizi Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Mwizi - Zuchu
...
INTRO
Ayo Lizer
VERSE
Do you know
The way you call me your queen
Mwenzako, I feel so happy, happy
Do you know
That you're my favourite, you're my bee
Unakuaga so lovely, lovely, mmh
PRE-CHORUS
Ah, jamani mwenzenu moyo kaniibia
Nahisi kihirizi ah, kanichimbia mama
Nauchizi Sio ucheshi nachanganyikiwa
Mapenzi kikohozi, kwake nimepaliwa
CHORUS
Haki ya mama chochote nitafanya (nitafanya)
And I swear to God kwako hoi
nyang'anyang'a (nyang'anyang'a)
Haki ya mama chochote nitafanya (nitafanya)
And I swear to God kwako hoi
nyang'anyang'a (nyang'anyang'a)
VERSE
Oh, tazama ndege angani wanaimba na kucheza
Zunzunzun! wewe nama nyukilia we
Niliomba dua nami nipate wakunipendeza
Mungu tu aliye mwema amenipa we
(Na mimi Mungu wetu mwema ndo amenipa we)
Omalicha mwa, huoni ka' tunanyimana
Wenyewe tumetulizana, tabia vimo twafanana (sana)
Mapenzi bwana hata tugombane mchana
Usiku tumeshapatana twacheka na kutekenyana (sana)
PRE-CHORUS
Jamani mwizi moyo kaniibia
Nahisi kihirizi, ah, kanichimbia mama
Maana uchizi si uchizi nachanganyikiwa
Mapenzi kikohozi, ah, nimepaliwa
CHORUS
Haki ya mama chochote nitafanya (nitafanya)
And I swear to God kwako hoi
nyang'anyang'a (nyang'anyang'a)
Haki ya mama chochote nitafanya (nitafanya)
And I swear to God kwako hoi nyang'anyang'a (nyang'anyang'a)