Wale Wale ft. Diamond Platnumz Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Wale Wale ft. Diamond Platnumz - Zuchu
...
INTRO
Sisi ndo wale wale
Mlio tukataa
Mkasema hatufiki mbalee (Na Simba lamaa)
Sasa tumejipata
Ni Zuchu chu chu chu chu
Hehehee (Ay-Ayo Trone) ai wewee Tronii, hee!
VERSE
Ayayayaya ulivyonipiga juju
Ulidhani nitagwaya, hukujua nina Mungu
Ayayayayaya eti nile chukuchuku
Mambo yangu yako sawa
Nishashiba kukukuku
Hee! Chote ni choyo na sijalii
Ndio kina waumiza
Na Mungu wangu, (Na Mungu wangu)
Yu Ngangari, cheza nami atawamaliza
PRE-CHORUS
Karibu ntanunua gari nakuja kwenu
Itaneni muambizane mje mjae (mama Suma)
Maisha yangu ya bei ghali kuliko yenu
Mi ndo yule mlikatazwa msicheze nae
Sisi ndo nani
CHORUS
Sisi ndo wale wale (sisi ndo wale wale)
Mlio tukataa (Mlio tukataa)
Mkasema hatufiki mbalee (Jamani Mungu si Athumani)
Sasa tumejipata (Aii aaah hee)
Sisi ndo wale wale (Sisi ndo wawawawa)
Mlio tukataa (Mlio tukataaa)
Mkasema hatufiki mbalee (Jamani Mungu si Athumani)
Sasa tumejipata aritikitiki tikitiki
Eeh rikiti tikiti tikiti tikiti tikiti tikiti hee!
Arerererere are tokoto tokoto
Tokoto tokoto tokoto tokoto hee!
VERSE
Ooh, eti ntakufa (kwani we utaishi milele)
Nilipozitafuta (mbona mliniacha mwenyewe)
Hizo chuki na pupa ooh (ndo zinofanya mchelewe)
Kwa kushinda kutwa (roho mbaya na viherehere)
Hee na mwaka huu
Mtaisaga rumba, eh kwanini
Maana nimemowomba Mungu mpaka nyumba
Na mjiandae kwa sare za ndoa sio uchumba
Eeh, waganga, waganga wenu wambieni wakoleze ndumba
Aah, oh! Binadamu ni waajabu sana, jaabu sana
Wana maneno ya kukatisha tamaa
Binadamu ni waajabu sanaaa
Wana matendo ya kuumiza sana
BRIDGE
Walisema eti nina nuksi ya senti (kapachuka)
Nyota yangu ya boda ya kwao ya jeti
Nani wa kunidate bega kama kenchi
Kudadeki zenu asa mbona mnakechi
Ooh, sisi ndo walewale
CHORUS
Sisi ndo wale wale (Sisi ndo wale wale)
Mliotukataa (Mliotukataa)
Mkasema hatufiki mbalee (Jamani Mungu si Athumani)
Sasa tumejipata (Aii aaah hee)
Sisi ndo wale wale (Sisi ndo wawawawa)
Mliotukataa (Mliotukataaa)
Mkasema hatufiki mbalee (Jamani Mungu si Athumani)
Sasa tumejipata aritikitiki tikitiki
Eeh rikiti tikiti tikiti tikiti tikiti tikiti hee!
Arerererere are tokoto tokoto
Tokoto tokoto tokoto tokoto hee!
OUTRO
Kamix Lizer