I Don't Care Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
I Don't Care - Zuchu
...
zuchu chu chu chu
Maneno yenu sio msumali kusema kwamba yatanitoboa
natena wala Wala sijali sioni jipya lakunikomoa
mnachojua majungu binadamu mnachosha
akishanipenda Mungu na mama yangu inatosha
Money on my mind God of my side
Sina muda muda wa negativity
Money on my mind God of my side
Sina muda muda wa negativity
Mi mkinisema sema mjue ndo napenda
ndo napenda
mi mkinisema sema mjue naona rahaa
naona rahaa
mi mkinisema sema mjue ndo napenda
ndo napenda
mi mkinisema sema mjue naona rahaa
naona rahaa
One Two
I don't care
I don't care
I don't care
I don't care
Mmh liziki yangu nadonda
ila mi waleo sio wajana
kweli sijavuna matunda ila walau hakosi mlo mama
na wenzangu nawatunza ndoto zao ziweze fanya
japo shukran ya punda wakishapata wananitukana aah
mnachojua majungu binadamu mnachosha
akishanipenda Mungu na mama yangu inatosha
Money on my mind God of my side
Sina muda muda wa negativity
Money on my mind God of my side
sina muda muda wa negativity
Mi mkinisema sema mjue ndo napenda
ndo napenda
mi mkinisema sema mjue naona rahaa
naona rahaa
mi mkinisema sema mjue ndo napenda
ndo napenda
mi mkinisema sema mjue naona rahaa
naona rahaa
One Two
I don't care
I don't care
I don't care
I don't care