Makonzi Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Makonzi - Zuchu
...
LG iih Lg aah aaah aah
Mr Lg
Ndo kakwambia ataniacha
hahaha hehehe unachekesha Sana
izo ni ndoto za alinacha
hahaha hehehe anakudanganya
ata umpe nini huning'oi unajisumbua mwaya
huyo bila mm hatoboii nimemshika pabaya
we chezewa ukimaliza kwenda
hatuachani kisa ujinga
we chezewa ukimaliza kwenda
hatuachani kisa ujinga
na nikikukuta nae
patachimbika nitakutia makonzi
nitakutikisaa
patachimbika nitakutia makonzi
nitakutikisaa
kwanza unitambie umenizidi nini
kubato na mie uje wenzako tisini
uliza uambie mimi mtoto wanani (hapaa)
ukijifanya chawa mi mwenzako kunguni
huna nini
huna jipya nenda kwa mwampopo
kikisafishwa labda ndo upate soko
huna nini
huna jipya nenda kwa mwampopo
kikisafishwa labda ndo upate soko
we chezewa ukimaliza kwenda
hatuachani kisa ujinga
we chezewa ukimaliza kwenda
hatuachani kisa ujinga
na nikikukuta nae
patachimbika nitakutia makonzi (utanikoma)
nitakutikisaa
patachimbika nitakutia makonzi( kudadekii)
nitakutikisaa