Cherie ft. Lava Lava Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Cherie ft. Lava Lava - Zuchu
...
Mwenzako najiuliza hivi umeumbwa muda gani
Uzuri wako umeupata turuk au Kwa mama nyumbani
Nataka nkupe visa cv uwe wangu rubani
Mana kwako sifurukuti Sina ujanja yani
aah silali nikasinzia kutwa uko kichwanii darling
Moyo ungekua nguo ningekupa uvae
Ama Mungu angenijali ningekua tajiri madolali
Basi nngekupa rupia maisha nikufae
Kutwa nikijipitisha Kwa mitandao kukufungua
Yani unawakomeshaga insta TikTok unawasumbua
Siishi kujikomentisha haki ya Mungu wanizuzua
Nipicha unavyojiwekaga kujiedit na vimauwaa
Navyokupenda eeh mwenyewe najishangaa (navyokupenda eeh mwenyewe najishangaa)
Navyokupenda mwenzako najishangaa (navyokupenda eeh mwenyewe najishangaa)
sijui nikuite nani (cheriee ama bebie)
nikuite nani (Cherie ama bebie)
nyonda wa hubani (Cherie ama bebie)
Eti nikuite nani (Cherie ama bebie)
(Zuchu)
iiiiih Cherie nangaiiii sikia hii
Sona baby sonaa
Niongee Kwakilugha gani unielewe
(ashirafu minyama)
mwenzako nkikuona moyo unacheza ubuge unacheza msewe
(natikisikaa)
aiiih umenipa penzi mvinyoo
Nami nimeelewa tikitiki dah
aiiih ukinishika chamwinoo
aiiih kelele mpka kibitii aiweeeh
Maji jamni majii (yanaufata mkondo)
speed yake ya boda sio ya kibajaji (na hatumii mkongo)
aiiih maji jamni maji (Yanaufata mkondo)
mwendo wake wa boda sio wakibajaji
(na hatumii mkongo)
Navyokupenda eeh mwenyewe najishangaa (navyokupenda eeh mwenyewe najishangaa)
navyokupenda wallah najishangaa (navyokupenda eeh mwenyewe najishangaa)
Asa nikuite nani (Cherie ama bebie)
nyonga mkalia ini (Cherie ama bebie)
Cherie nangai eeh (Cherie ama bebie)
my sweet sweet chocolate (Cherie ama bebie)
asa baby ringa (ringa ringae)
ringa ringae ringa ringae
pinda mgongo ringae
katika wakuone
ringa ringae ringa ringae
kata wakuonee