Nimechoka Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Nimechoka - Zuchu
...
Lalala lalalala × 2
ohoo
verse 1
Umenijengea kumbukumbu,
mbaya kwenye penzi lako
siwezi Rudi ata unishikie bakora
nanena kwa machungu
umenitendea vibaya mimi mwana wa mwenzako
kwa makusudi furaha umenipora
aaaahhhh aahh
asante umenifunzaaaaaa
nionapo njia mbili nichague ya kufuuri
mimiii mi sio wa kwanza kuumizwaaaaa
wanatendwa matajiri sembuse mimi wa sifuriiii
ahhhaaaaa na nakujua kwa kumsingizia shetwaniii
huyo ni wewe ni wewe ni weeeeeeweee
na ukinikumbuka usijisumbue you turn
uniache mwenyewe mwenyewe mwenyewe niache eeee
(nimechokax3 bhas)x2
verse 2
hasiraaa hasira ndio maradhi yanguuu
hasiraaaa nimepoteza muda wanguuu
jamaaaaniiii hasiiiraaaa hasiraaa ndio ugonjwa wanguu
hasira nimepoteza lengo langu
sitamani sitamani makosa niyarudieeee
isiwe desturi yangu
isiwe yangu kuuchuuza moyo uumie
bora nirudi nyumbanii
pembaaaa wanitambikie
nifungue akili yangu
mawazoni nikutoe
oohh maana nakujua kwa kumsingizia shetwaniiii
huyo ni wewe ni wewe ni weeeee
na ukinikumbuka usijisumbueeee
you turn uniache mwenyewe mwenyewe mwenyewe niacheee
chorus
nimechoka x3 aah bhas
wee shika zako nami nishike zangu
nimechoka x3 aah bhas
By aggie babe